Nimeambiwa Simba SC wakitumia Low Block na Counter Attack Wydad Casablanca FC anatupeleka Semi Finals CAFCL

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nami GENTAMYCINE nauliza je, wakiongezea na High Pressure yaani tucheze Mifumo yote Mitatu ya Low Block, High Pressure and Counter Attack kwa mfumo wa 4-1-4-1 Mwarabu hatochapika Kwao Mohammed V Stadium Siku ya Ijumaa na Mnyama ( Simba SC ) kutinga kwa mara ya Kwanza CAFCL Semi Finals?

Karibuni wana Simba SC Wenzangu wote hapa JamiiForums tulijadili hili Kiufundi na tafadhali kama unajijua Wewe ni Shabiki wa Mganga Kasema Jini linataka Damu za Wanachama Wetu 500 Tu Ili Tushinde kwa Kishindo Jumapili FC usipoteze muda wako Kuchangia au Kushauri chochote kile kwani tunawajua kwa Unafiki Wenu na Kamwe hamtutakii mema.

Cc: SAGAI GALGANO
 
Kabisaa na makocha wapange huu mfumo, 4-1-4-1
Yaan hapo waachezaji wakiwa na ari na morari mbna tunapitaa,

Kikubwa tuwe waangalifu kuepuka kona na fouls zisizo na mpango, yaan wachezaji wajue kuipambania team.

[emoji881] nguvu 1
Hallah [emoji3590][emoji833]
[emoji120][emoji120]
 
Binamu bana mechi hiyo inatakiwa viungo na beki wa kutosha mjaze ili kuvuruga move za washindani wenu hasa huo mfumo wako kwa ugenini haufanyi kazi maana lazima kulazimisha defending iwe strong lakini right na left wing pamoja na kupanda na kushuka lakini waweze kukaba vyema na wawe na pumzi, halafu kibu awe anasumbua sumbua huku mnapiga hesabu za counter za mara kwa mara, na kustukiza tofauti na hapo mmekwisha
 
Umeandika Kiutaalam mno Mtani wangu. Kuna muda ukiacha Bangi you become very Intelligent and Analytical like this.

Congrats.
 
Binamu bana mechi hiyo inatakiwa viungo na beki wa kutosha mjaze ili kuvuruga move za washindani wenu hasa huo mfumo wako kwa ugenini haufanyi kazi maana lazima kulazimisha defending iwe strong lakini right na left wing pamoja na kupanda na kushuka lakini waweze kukaba vyema na wawe na pumzi, halafu kibu awe anasumbua sumbua huku mnapiga hesabu za counter za mara kwa mara, na kustukiza tofauti na hapo mmekwisha
Wee binamu hebu tuachee kwani, khaaah
 
strength tu na umri wa wachezaji wenu una waruhusu kukimbizana speed na wale watoto ? your doomed [emoji735]️
Unaonekana mpira ila hauna taarifa subiri kkusaidie WAC sehemu ya kiungo kuna Yule Jabran jezi namba 5 na Jalal Daoyd jez namba 6 hawa wana umri wa miaka 34,na 31 hawa ndio backbone ya WAC ukikaba hawa wanakosa plan B rudia kuangalia mechi hizi mimi nmeangala dkk 90 angalia mechi za AS vita zote 2,js petro de luanda ya kule morocco au hata ya angola pia cheki za js kabylie zote mbili pia na ya simba hapa Tz,WAC hawana kasi kama RAC ila wanacheza kikubwa na wanakuazibu kutokana na makosa yako binafsi...Simba sehemu ya kiungo ni Kanoute hajafika na mzamiru ambae lbd ndio ana 30+ nakuongezea kitu ambacho mashabiki maandazi hawaweI kufuatilia Mechi ya Juzi kanoute kagombania Aerial ball kagombania mipira minne na kashinda mipira yote mi 4 asilimia miamoja kashinda.shida ya wachambuzi wengi wanapiga story redioni hawaendi kwenye small small details Ramadhani Mbwaduke wa Azam TV anaelezea vizuri sana mpira kiundani sio blaa blaa za wasimulia mechi wanaokaa vijiweni kuelezea story na matokeo ya nyuma
 
Binafsi sijafanikiwa kuangalia mechi za Mamelody ila nafikiri ifike muda timu za bongo tujifunze kwa Memolody jinsi ya kuwafunga waarabu mana huwezi kuacha kukutana nao, kwa sababu wamelishika soka la Afrika, timu zao zinapatika katika hatua mbalimbali za mashindano.

Hivi hao Mamelody wanatumia mbinu gani kuwafunga hawa waarabu mana walikuwa wameishashindikana ila kwa sasa Mamelody anajipigia tu Waarabu.

Juzi kampiga Belouzdad goli 3-1, na Belouzdad alikuwa nyumbani.
 
4 kwa 1, shaulile alitupia 2.
 
Huyo jini mwambieni akafie mbele huko manina,hapo kwenye 4 1 41 ndo penyewe hapo,huo mfumo unaweza ukachanganyikiwa ukicheza nao,alipigika sana horoya na huo mfumo asee..[emoji109]
 
Back
Top Bottom