Nimeambukizwa Gonjwa baya na Mpenzi wangu! Msaada na ushauri wa Haraka

Nimeambukizwa Gonjwa baya na Mpenzi wangu! Msaada na ushauri wa Haraka

Shamkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
1,750
Reaction score
2,283
Baada ya kutoka Chuoni anakosomea Alikuja siku mbili kabla ya krsimass vile nilikuwa nimemisi tulishinda tukiduu! Alivo ondoka tangu siku ya boxing day, nimeanza kuugua nahisi maumivu makali sana wakati wa kukojoa kuanzia jana mpaka sasa nakojoa usaha kabisa rafiki yangu kaniambia Ni Gono Tayari na akaniambia kawaida gono huwa haliponi hospital mpaka dawa za kienyeji, Naombeni ushauri jamani kuna ukweli katka hili? Pengine nitumie dawa gani kwa wanao ufahamu ugonjwa huu? Naomba kuwasilisha.
 
Dawa ya faśta ni kuchanganya maji moto ya betri ya gari na pilipili. Ukipaka fasta wadudu wa gono wanapata kizunguzungu na kiungulia then wanaRIP wakiuacha mstorongo na kinga thabiti ya kugegeda K zote zenye gono bila kupata maambukizi tena.

Maumivu yakizidi tumia kisu.
 
Nenda kwanza hospitali kapime ujilidhishe unaumwa nini, usipende kuambiwa dawa bila kuhakikishiwa na daktari unaumwa nini.
 
dawa zpo njoo hosptal yoyote
 
Kavukavu nouma,halafu wewe mtu mwenyewe unaonekana ni mbulula hata General education huna,nani kakudanganya kama gono haliponi hospitali?yaani hata biology ya form two ndugu imekupiga chenga?ukakubali ushauri wa miti shamba?Poor you kizazi cha Mr shukuru kawambwa division five!!
Nenda hospitali mara moja utapata tiba ya combination ya broad spectrum (strong)antibiotics(cefixime,Azthromycin,ceftriaxone ,Ampiclox ,clamovid etc) utapona mara moja ukagonge kavu tena!!
 
tumia antbiotic inaitwa azwork vidonge vitatu tu kwa siku tatu kila siku moja
 
kama ni ugonjwa wa gono unatibika hospitalin.hivyo basi wahi haraka sana hospitalin kabla haujasambaa na kushambulia viungo vya uzaz hali itakayo kusababishia utasa.ni vema ukamwambia mpz wako pia ili mwende wote.pole sana siku nyengine mkumbuke kinga...
 
Dawa ya faśta ni kuchanganya maji moto ya betri ya gari na pilipili. Ukipaka fasta wadudu wa gono wanapata kizunguzungu na kiungulia then wanaRIP wakiuacha mstorongo na kinga thabiti ya kugegeda K zote zenye gono bila kupata maambukizi tena.

Maumivu yakizidi tumia kisu.
Uchawi sio lazima uwe na tunguri!
Shikamoo babu
 
Nenda hospitali ukafanye vipimo upate tiba sahihi.
Ukupigao ndio ukufunzao,naamini wewe ndio utakuwa unahimiza matumizi ya kinga kuanzia sasa.
 
wahi hosp.utapona ukichelewa utaoza na kuharibu mfumo wa uzazi,mpenzi wako cyo mwaminifu be careful mtauwana.achen uzinifu
 
[Shamkware;8224710]Baada ya kutoka Chuoni
anakosomea Alikuja siku mbili kabla ya krsimass vile nilikuwa nimemisi
tulishinda tukiduu! Alivo ondoka tangu siku ya boxing day, nimeanza
kuugua nahisi maumivu makali sana wakati wa kukojoa kuanzia jana mpaka
sasa nakojoa usaha kabisa rafiki yangu kaniambia Ni Gono Tayari na
akaniambia kawaida gono huwa haliponi hospital mpaka dawa za kienyeji,
Naombeni ushauri jamani kuna ukweli katka hili? Pengine nitumie dawa
gani kwa wanao ufahamu ugonjwa huu? Naomba kuwasilisha.[/QUOTE]

pole sn mkuu,gono linapona hospitalin,go and buy azthromicin and docs dose and u wil get wel soon
 
Dr.URIO, kwa dalili hzo ni dhahiri kabsa kuwa amekuambukiza ugonjwa unaoitwa, Uring track infection (Uti) wahi mapema kituo cha afya unatibka na kupona ndani ya siku tano.
 
Usiogope nenda hospitali ugonjwa huo unatibika tena itachukua siku chache. GONO si sawa na UKIMWI.
 
Back
Top Bottom