Nimeambukizwa Gonjwa baya na Mpenzi wangu! Msaada na ushauri wa Haraka

Nimeambukizwa Gonjwa baya na Mpenzi wangu! Msaada na ushauri wa Haraka

Huyo aliyekwambia haiponi hospital si mkweli wahi haraka hospital upatiwe matibabu
 
Sometimes nazidiwa na wagonjwa, wananitandika ngumi kwenye medula oblangata.
Mkuu lakini kazi ya Medulla Oblongata ni kurekebisha/ratibu mapigo ya moyo, upumuaji na umengenyaji wa chakula kwenye utumbo, haina uhusiano wowote na magonjwa ya UCHIZI.
 
Olele.....
Pole sana kijana yan kwa makadilio mliduu kwa mda wa siku 4 mfululizo sasa bila kinga huhuhuhuuu naogopa sana bt pole hapo nenda hosptal fasta upime ujue nin tatizo kama ni UTI an GONO wahi matibabu maana ukizembea utakumbwa na makubwa na ukifika kwa Dr. Uwe wazi ukificha ohoooo hiyo kitu itaoza siku si nyingi
 
Kimbia haraka hospitali ukapate tiba, hafu hayo magonjwa ni hatari kama anaojua kuwa hata HIV iinakunyemelea
 
Baada ya kutoka Chuoni anakosomea Alikuja siku mbili kabla ya krsimass vile nilikuwa nimemisi tulishinda tukiduu! Alivo ondoka tangu siku ya boxing day, nimeanza kuugua nahisi maumivu makali sana wakati wa kukojoa kuanzia jana mpaka sasa nakojoa usaha kabisa rafiki yangu kaniambia Ni Gono Tayari na akaniambia kawaida gono huwa haliponi hospital mpaka dawa za kienyeji, Naombeni ushauri jamani kuna ukweli katka hili? Pengine nitumie dawa gani kwa wanao ufahamu ugonjwa huu? Naomba kuwasilisha.

Jinga kweli rafk yako Tangu lin Gono ikashndwa kutibika hospital? kama unataka kende zioze we kaa nyumbani sasa


Nenda ukapigwe sindano 5 za Powercef, 1 kila cku pia


uambatanishwe na dawa hiz

1. Tinadazole 4×1×3
2.Doxcline 1×2 kwa siku 5
3.Cipro 1×2 kwa siku 5

Hapo lazima Usaha ukate baada ya cku 1

lakini pia Mpigie demu wako aache umalaya huko chuoni, na mwambie akatibiwe nayeye maana kwao dalili huwa hazionekani kama kwa wanaume ispokuwa atakuja kujistukia alishapoteza uwezo wa kupata mimba miaka ikienda, Kama humuamini ujifunze kutumia Condom.
 
Pole wahi hosp haraka ukatibiwe. Ila cku nyingine usiwe unasahau kinga ni muhimu.
 
Back
Top Bottom