Nimeambukizwa virusi vya UKIMWI (H.I.V)

 
Habar wakuu, nimemiss sana kamnyweso asee. nameza ARV's saanne usiku je' naweza kunywa Beer na nimemeza Dozi....

maana nina maliza mwez na kidogo kusimama kunywa kamnyweso tangu nianze dozi nahis mateso, mwili unataka pombe mim nauzuia adi naziota ndotoni[emoji29]
 
Katika damu kuna part mbali mbali kama chembe hai nyeupe nyekundu sel sahan na plasma sasa kirus ni mgen ndan ya mwili anafikia kwenye damu ila hana makaz anajipachika kwenye sel nyeupe ambazo hubeba kinga na kuanza kudhoofisha kuitoa hapo ni rahis wazungu wamewahadaa watu tu na wao wanatibu na dawa ipo ila wameificha kwa kisingizio cha kuifanyia utafit na hata ukigoogle utaona wapo watu waliopona kwa dawa zao zaid ya wagonjwa watano wamewareport wamepona kwa dawa zao achilia mbal wa tiba asili kama dr seb ambao ni zaid ya mia japo walimuua ni jambo linalowezekana mzungu ji dhaifu sana anapumbaza watu kua ni superior
 
Mkuu utapigwa cha Juu. Unawajua wakinga au unawasikia?
 
Mkuu utapigwa cha Juu. Unawajua wakinga au unawasikia?
Dah ni vile tu bado kibunda hakijajiSet sawasawa, Kinachozid kunipa imani na tumaini ni vile watu wanavyopona totally from POSITIVE to negative na wanapimwa tena baada ya miez ad sita still wapo negative wamepona.. Tatizo wapigaji ni wengi sijui uwa anawaandaa watu wake anaowajua yey sielewi
 
Wajameni ivi naweza nikanywa beer na ikiwa nimemeza ARV muda mchache uliopita. nameza ARV saanne sometimes saatano night, naweza nikaanza kugida around time iyo.???
 
Wajameni ivi naweza nikanywa beer na ikiwa nimemeza ARV muda mchache uliopita. nameza ARV saanne sometimes saatano night, naweza nikaanza kugida around time iyo.???
Kwa nini usiulize kipindi unachukua dawa

Ila mimi kipindi fulani nilitumia pep wakanishauri ninywe dawa saa 12 asubuhi then ikifika jioni saa 12 naruhusiwa kunywa bia.
Ila ni bora ukauliza CTC watakupa ushauri mzuri zaidi
 
Uraibu wa ngono ni hatari zaidi ya ulevi wa pombe.

Poleni sana wenye uraibu huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…