Nimeamini 100% Mwaka 2025 Rais ni Membe

Nimeamini 100% Mwaka 2025 Rais ni Membe

Siku moja nilikuwa Dodoma, jioni nikafika kwenye hotel moja inaitwa Morena kwaajili ya chakula cha jioni. Huwa napenda kwenda maeneo ya vile hususani nyakati za jioni maana kuna mengi waweza kujifunza japo vyakula vyao ni bei ghali.

Katika meza nyingine walikuwepo wabunge wawili wa chama tawala na vijana wawili ambao sikuwatambua ila inaonesha walikuwa pamoja na wale wabunge.

Kijana mmoja kati ya wale alikuwa anaongea wazi wazi bila kupepesa macho kuwa Rais ajaye ni Membe, cha ajabu hakuna mheshimiwa aliyepinga zaidi walitaka afunguke zaidi.

Jamaa akasema mengi na mwisho akasema upo mkakati unao ratibiwa na mtu aliyemwita "BABU" na lengo ni kumwingiza Rais chaka kupitia ushauri, kijana akasema hilo lilifanyika hata awamu ya JPM ila ndani ya miezi 3 JPM alihisi kuna kitu hakipo sawa kuanzia pale akawa anawauliza watu wachache sana issue zinazo hitaji ushauri.

Kijana alisema jambo kama hilo liliratibiwa vizuri baada ya JPM kufariki na mrithi wake ameingia mtegoni na kamwe hawezi kunasuka, na 2025 Rais ni Membe (alisema kijana yule)

Mimi Bei Elekezi nakuwaga mjanja kwenye mbinu za kunasa watoto wazuri na ni Genius wa kuwafikisha kileleni ila mambo ya siasa huwa sifuatilii sana maana mwisho wa siku najua jukumu langu ni kutafuta pesa kwaajili ya ustawi wa familia yangu na fedha kidogo ya kuhonga mademu.

Hivyo sikutilia sana maanani mambo ya yule kijana nikahisi labda amelewa au ni chambo labda anataka kusikia watu watasemaje ila nikawaza kuwa wale wahenga waliosema lisemwalo lipo walimaanisha nini?

Wewe lofa
 
Mna mpango wa kuiba kura Tena?
 
Membe wa

Membe asiyekuwa na mvuto wowote.
 
Nimemwambia 'Shingolo' kuwa mwaka 25 nitakuwa mbunge wa Chanika bila kampeni wala bila kupingwa, kama anataka kujaribu kina cha maji, yeye na timu yake hawatatoboa 2026. Ujumbe wangu ukaishia hapo.
Sina uhakika kama aliupata...
 
Siku moja nilikuwa Dodoma, jioni nikafika kwenye hotel moja inaitwa Morena kwaajili ya chakula cha jioni. Huwa napenda kwenda maeneo ya vile hususani nyakati za jioni maana kuna mengi waweza kujifunza japo vyakula vyao ni bei ghali.

Katika meza nyingine walikuwepo wabunge wawili wa chama tawala na vijana wawili ambao sikuwatambua ila inaonesha walikuwa pamoja na wale wabunge.

Kijana mmoja kati ya wale alikuwa anaongea wazi wazi bila kupepesa macho kuwa Rais ajaye ni Membe, cha ajabu hakuna mheshimiwa aliyepinga zaidi walitaka afunguke zaidi.

Jamaa akasema mengi na mwisho akasema upo mkakati unao ratibiwa na mtu aliyemwita "BABU" na lengo ni kumwingiza Rais chaka kupitia ushauri, kijana akasema hilo lilifanyika hata awamu ya JPM ila ndani ya miezi 3 JPM alihisi kuna kitu hakipo sawa kuanzia pale akawa anawauliza watu wachache sana issue zinazo hitaji ushauri.

Kijana alisema jambo kama hilo liliratibiwa vizuri baada ya JPM kufariki na mrithi wake ameingia mtegoni na kamwe hawezi kunasuka, na 2025 Rais ni Membe (alisema kijana yule)

Mimi Bei Elekezi nakuwaga mjanja kwenye mbinu za kunasa watoto wazuri na ni Genius wa kuwafikisha kileleni ila mambo ya siasa huwa sifuatilii sana maana mwisho wa siku najua jukumu langu ni kutafuta pesa kwaajili ya ustawi wa familia yangu na fedha kidogo ya kuhonga mademu.

Hivyo sikutilia sana maanani mambo ya yule kijana nikahisi labda amelewa au ni chambo labda anataka kusikia watu watasemaje ila nikawaza kuwa wale wahenga waliosema lisemwalo lipo walimaanisha nini?
Nenda ukanye halafu ukachambe ndiyo ulalwe. Huna akili ya kujua mambo makubwa ya nchi
 
Atafutwe mwanaume wa shoka huyu mama amekua mswahili sana ,maneno mengi vitendo sifuri
 
Siku moja nilikuwa Dodoma, jioni nikafika kwenye hotel moja inaitwa Morena kwaajili ya chakula cha jioni. Huwa napenda kwenda maeneo ya vile hususani nyakati za jioni maana kuna mengi waweza kujifunza japo vyakula vyao ni bei ghali.

Katika meza nyingine walikuwepo wabunge wawili wa chama tawala na vijana wawili ambao sikuwatambua ila inaonesha walikuwa pamoja na wale wabunge.

Kijana mmoja kati ya wale alikuwa anaongea wazi wazi bila kupepesa macho kuwa Rais ajaye ni Membe, cha ajabu hakuna mheshimiwa aliyepinga zaidi walitaka afunguke zaidi.

Jamaa akasema mengi na mwisho akasema upo mkakati unao ratibiwa na mtu aliyemwita "BABU" na lengo ni kumwingiza Rais chaka kupitia ushauri, kijana akasema hilo lilifanyika hata awamu ya JPM ila ndani ya miezi 3 JPM alihisi kuna kitu hakipo sawa kuanzia pale akawa anawauliza watu wachache sana issue zinazo hitaji ushauri.

Kijana alisema jambo kama hilo liliratibiwa vizuri baada ya JPM kufariki na mrithi wake ameingia mtegoni na kamwe hawezi kunasuka, na 2025 Rais ni Membe (alisema kijana yule)

Mimi Bei Elekezi nakuwaga mjanja kwenye mbinu za kunasa watoto wazuri na ni Genius wa kuwafikisha kileleni ila mambo ya siasa huwa sifuatilii sana maana mwisho wa siku najua jukumu langu ni kutafuta pesa kwaajili ya ustawi wa familia yangu na fedha kidogo ya kuhonga mademu.

Hivyo sikutilia sana maanani mambo ya yule kijana nikahisi labda amelewa au ni chambo labda anataka kusikia watu watasemaje ila nikawaza kuwa wale wahenga waliosema lisemwalo lipo walimaanisha nini?
Ni kweli kabisa, Mama kaingizwa chaka
 
Sometimes huwa mnawaza nini!! Mama samia anapiga miaka yake 10, Allah amjaalie afya njema

Bhujiku ng'waka
 
Huyo Babu unamaanisha Ombeni sefue!!?au!!?
Mwaka 2025 alikuwepo Farao asiyemjua Daudi but soon there after atakuwepo Daudi asiye mjua Farao. Its a game of thrones...
R u there?
Kumbe

Farao ata Riiipiiwa mapema eeh!!!?

Tusubiri

Kibwagizo;-

"Samiah jiuzulu Sasa nchi imeshakushinda,ulambaji asali umekuponza""!

""Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA!!
 
I am not aware of that. The information 'I have'; The Ferroes will see their 90th birthdays...
 
Siku moja nilikuwa Dodoma, jioni nikafika kwenye hotel moja inaitwa Morena kwaajili ya chakula cha jioni. Huwa napenda kwenda maeneo ya vile hususani nyakati za jioni maana kuna mengi waweza kujifunza japo vyakula vyao ni bei ghali.

Katika meza nyingine walikuwepo wabunge wawili wa chama tawala na vijana wawili ambao sikuwatambua ila inaonesha walikuwa pamoja na wale wabunge.

Kijana mmoja kati ya wale alikuwa anaongea wazi wazi bila kupepesa macho kuwa Rais ajaye ni Membe, cha ajabu hakuna mheshimiwa aliyepinga zaidi walitaka afunguke zaidi.

Jamaa akasema mengi na mwisho akasema upo mkakati unao ratibiwa na mtu aliyemwita "BABU" na lengo ni kumwingiza Rais chaka kupitia ushauri, kijana akasema hilo lilifanyika hata awamu ya JPM ila ndani ya miezi 3 JPM alihisi kuna kitu hakipo sawa kuanzia pale akawa anawauliza watu wachache sana issue zinazo hitaji ushauri.

Kijana alisema jambo kama hilo liliratibiwa vizuri baada ya JPM kufariki na mrithi wake ameingia mtegoni na kamwe hawezi kunasuka, na 2025 Rais ni Membe (alisema kijana yule)

Mimi Bei Elekezi nakuwaga mjanja kwenye mbinu za kunasa watoto wazuri na ni Genius wa kuwafikisha kileleni ila mambo ya siasa huwa sifuatilii sana maana mwisho wa siku najua jukumu langu ni kutafuta pesa kwaajili ya ustawi wa familia yangu na fedha kidogo ya kuhonga mademu.

Hivyo sikutilia sana maanani mambo ya yule kijana nikahisi labda amelewa au ni chambo labda anataka kusikia watu watasemaje ila nikawaza kuwa wale wahenga waliosema lisemwalo lipo walimaanisha nini?
Wewe ni Etwege tunakujua. Wiki iliyopita ulijisahau ukapost uzi wenye maudhui sawa 100% hapa jukwaa la siasa na jukwaa la MMU.
Bila shaka unakumbuka nilikushtua ukaufuta 🤣🤣
 
Wewe ni Etwege tunakujua. Wiki iliyopita ulijisahau ukapost uzi wenye maudhui sawa 100% hapa jukwaa la siasa na jukwaa la MMU.
Bila shaka unakumbuka nilikushtua ukaufuta [emoji1787][emoji1787]
Mbona unamchunguza sana kwan unamtaka?
 
Sasa we umeahirisha kazi yako ya uchakataji wa mbususu huna habari unaemtaja kwa sasa anamembeka na pesa ya Gadafi
 
Back
Top Bottom