Nimeamini beautiful girls are bad kissers

Nimeamini beautiful girls are bad kissers

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
1,662
Reaction score
3,017
Hawa watoto wazuri hakuna kitu kwenye swala la french kisses yaani ni kama unakiss sanamu bwana. Mwanamke bora hata uwe gogo kitandani ila ujue kucheza na ndimi bwana. Toka nimeanza kula hizi toto nzuri sijawahi pata mwenya anaijua French kiss ukilinganisha na wadada wakawaida.
Nb: hii ni chitchat ukitaka vitu positive kama sheria ya 10% tax kwenye retained earnings nitag kule kwenye jukwaa la uchumi ntakuja, hapa tunachambua kissing.
 
Tatizo unakula malaya, Malaya na kiss wapi na wapi wao ni wakali wa kukitega tu.
Mnajitafutiaga magonjwa ya bure...😅
 
Kuna kaukweli flani hapa... most of beautiful girls kwa bed hua hawanaga ubunifu sana
 
Back
Top Bottom