The king mswati
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 787
- 825
Wanajamvi habarini na asubuhi.
Naomba niandike uzi wangu wa mwisho kwa mwaka huu, lakini uzi wenyewe unanichanganya sana kwamba BINADAMU WA KWANZA KUWEPO DUNIANI ALIKUWA MWEUPE (MZUNGU) AU ALIKUWA MWEUSI TII (MWAFRICA).
Juzi kati hapa niliandika uzi kumhusu mtu mweusi, lakini watu kadhaa walitukana sana wakinambia na unyanyapaa uafrica wangu, lakini baadhi yao walinielewesha nikaelewa kwanini wengine weusi wengine weupe na pia kwanini mweusi ana dunishwa sana kwenye dunia ya kileo.
Sasa nimeajaribu kupitia notes kadhaa mitandaoni nimeamini kweli BINADAMU wa kwanza kuwepo duniani alikuwa MWEUSI alipatikana africa (kwa mujibu wa ushahidi wa kisayansi).
Ushahidi wa kisayansi kuhusu mabaki ya kale (archeology) unaonesha kuwa HOMO-SAPIENS (MODERN MAN WA LEO) mabaki yake yamegunduliwa ETHIOPIA,SOUTH AFRICA NA TANZANIA ambapo nchi zote hizi zipo AFRICA, kwa hiyo kwa ushahidi huu inaonesha binadamu wa kwanza alikuwa mweusi na aliishi africa.
Kwa hiyo wazungu wote ama weupe wote unao waona duniani leo asili yao inatokana na weusi wa kia-africa kabisa.
LAKINI VITABU VYETU VYA DINI JE VINASEMAJE ?
By the way hapa nitazungumzia kitabu cha biblia pekee maana ndicho ambacho nimekisoma zaidi, upande wa qur'an mtanisadia wahusika wa upande huo pia.
Ofcourse kwenye bible inawazungumza ADAM NA HAWA (EVA) kama binadamu wa kwanza kuwepo duniani, lakini haijazungumzia kuhusu race zao (rangi) kwamba walikuwa weusi au weupe.
Na pia inaonesha kuwa walikuwa wakiishi bustani ya ilokuwa ikiitwa EDEN lakini pia biblia haijaelekeza hiyo bustani ya eden ilikuwa sehemu gani duniani (nchi gani au bara gani).
lakini wamekuja wana-theolojia waliobobea kwenye mambo ya dini wamejaribu kuchambua na kuweka mambo kwa uwazi zaidi kwa kutumia ushahidi huo huo uliopo kwenye biblia.
nitawapa mawazo ya profesa mmoja wa mambo ya theolojia (simkumbuki jina ila nitaenda pitia nondo zangu badae niwaletee jina lake), huyu jamaa anatoka nchi ya ireland na aliandika haya mambo miaka ya 1920's hivi.
Huyu mwana-theolojia anasema kwamba bustani ya eden ilikuwepo (kwa sasa haipo tena) eneo la mesopotamia lakini sehemu kubwa ya bustani ilikuwa ilipo nchi ya IRAQ kwa leo.
maana kwa leo mesopotamia inajumlisha nchi za iraq,syria na baadhi ya sehemu za uturuki lakini kwa mujibu wake amesema ilipo iraq ya leo ndipo ilipokuwa bustan ya eden enzi zake.
Na ametumia kigezo cha mto ulikuwa unazunguka kuimwangilia bustani ya eden ambao uligawanyika kwenye vichwa vinne na huo mto umetajwa kwenye biblia na upo mpaka leo unaitwa MTO FRAT.
Lakini pia kama bustani ya eden ilikuwepo iraq hata baada ya adam na eva kufukuzwa bustanini baada ya kutenda dhambi bado walibaki pale pale MASHARIKI YA KATI (MIDDLE EAST).
Je kama adam na hawa waalishi eneo la mashariki ya kati, eneo hilo watu wake ni weusi ? Maana yake kama si weusi hata binadamu wa kwanza hakuwa mweusi pia na hakuishi africa .
Je tuiamini biblia au sayansi ?
Na huyu profesa anasema amezungumzia watu weusi walipatikane ila anasema watu weusi ni uzao wa kushi (ethiopia) na ndiyo uzao wa waafrica wote weusi.
Na ameenda mbali zaidi na kusema adam aliumbwa siku ya ijumaa saa tatu na nusu asubuhi na akasema tangu adam aumbwe mpaka leo ni miaka elfu 6000 (kabla ya yesu ilikuwa miaka 4000 na baada ya yesu kuja huku mbele ni miaka 2021) jumla elfu miaka elfu sita
Maana yake toka kwa adam mpaka sasa tulipo ni miaka 6021 na wakati huo huo sayansi inatuambia binadam wa kwanza aliishi miaka sijui milion ngapi iliyo pita (huko kwenye evoulution of man).
Na pia sayansi inatuambia from big bang mpaka leo ni miaka bilion 13.8 na wakati huo huo dunia ikiwa na miaka bilion 4.5 au 5 hivi.
LAkini pia tuangalie sayansi inasema maisha yalianza lini hasa duniani ? Hapa tujumlishe viumbe wote siyo binadamu pekee,
Sayansi anasema maisha duniani yalianza miaka billion 3.2 hivi iliyopita kwa ushahidi wa viumbe dynosasi (mijusi wakubwa) lakini kibiblia sidhani kama hiki kipindi mungu alishaanza kuumba viumbe wake .
So my point which is which ? Tuamini sayansi au vitabu vya dini ?
Nb : sayansi mara nyingi ina ushahidi wa kuonekana (physical) lakini vitabu vya dini ushahidi wake ni mgumu sana kupatikana maana ni hadithi na imani zaidi.