Achana na upumbavu wa vitabu vya dini, utapotea ndugu,
ukwel ni huu kama vitabu vya dini vnasema uzao wa mtu mweus umetokana na ham mtoto wa nuhu ambaye ni mtu mweupe, je tangu lini mtu mweupe akaweza zalisha mtu mweusi bila ya muingiliano na mtu mweusi?
Kama adamu aliumbwa kwa udongo wa dunia, je inakuwaje kiumbe atokee mwnye rangi nyeupe? Em jarbu hata kwako tengeneza kinyago kwa kutumia udongo alafu utuoneshe uo weupe umetoka vip.
Historia inaonesha karibia kila sehem ya dunia asili yake ya wakazi wa zamani walikuwa jamii ya watu weusi, ambao walkuja kufukuzwa&kuuwawa baada ya wageni weupe kuja, je hawa wageni weupe kwao asili yao ni wapi?.
Kama bustani ya Edeni ilikuwa huko mnakoita mesopotamia then why hakuna ushahid wa mabaki yoyote ya wanyama,binadamu mmea wowote kuwepo yaan haimake sense eti eneo lililokuwa chanzo cha uumbaji leo hii ligeuke jangwa na halina ushahid wowote wa mimea na wanyama, tuaminije?
Weupe ama weusi ni asili ambayo ili itokee lzma kuwepo na carrier wa hizi DNA za race ndipo kiumbe wa rangi hiz atatokea, je , kwa huyo nam na watu weusi ilikuwaje wazaliwe kutoka ktk race ya watu weupe kama ktk historia za uumbaji wa vitabu vya dini hawataj kama kuliwahi kuwepo mtu mweusi? Ama mtu mweusi nae aliumbwa kwa material mapya ili itokee race mpya? Huu uongo wa dini mtauamini mpka lini?
Alafu huyo wamuitaye ishmael mzaz wa waarabu ilikuwaje akawa muarabu, wakat baba mweupe ambaye ni ibrahimu alizaa na kijakaz wa misri ya kale ambayo ni uzao wa Nam mtu mweusi sas how come muingiliano wa mtu mweupe na mweusi ulete mwarabu? Ama kusema ibrahimu alikuwa mwarabu na kijakazi mwarabu? Yaani tupingane tena kuwa misri ya hamu haikuwa ya mtu mweusi? Kama ni hivyo tukubaliane basi ishmael na wazawa wake walikuwa waafrika machotara na sio hao waarabu ama watu weupe.
Siku zote sayansi na dini vimekuwa vikipingana, sayansi inaeleza kuwa maisha yalianza zaman sana, lkn hizo dini ukipiga mahesabu unakuta zinataja umri wa maisha tangu uumbaji hayatimiz hata miaka elfu10 bila ushahid, je tuamini sayansi yenye facts na evidence ama dini isiyo na vithibitisho?
La mwisho kabisa, ktk historia ya dunia tangu mwanzo mpaka sasa, jambo kubwa na baya lililoikumba jamii kubwa na idadi ya watu wengi kufa ni Utumwa wa mtu mweusi, je hayo maandiko yenu na dini zenu kwanin yameshindwa kulitaja hili jambo basi hata kuonya ama kutabil ama hata kulitolea ufafanuzi tu dini zimeshindwa je huo sio ubaguzi?
Na huyo Mungu wa hizo dini tajwa kwanini aliamua kutumia Negative way ya kusambaza imani yake kupitia mauwaji yakutisha na ushenz wa kila aina, je huyo Mungu wa hzi dini hakuwa na upendo kwa mtu mweusi mpka awatume wajumbe toka mbali bila mateso, ama kuwatumia hata manabii weusi kuwaelimisha wafrika wenzao bila mateso waliyopoitia babu zetu?.
Dini zote ni uongo, elimu ya historia ya dunia ni uongo mtupu.
Mungu wa dini hayupo na hatowai kuwepo