Nimeamini Binadamu wa kwanza duniani alikuwa mweusi, lakini vitabu vya Dini vinachanganya. Je, ukweli ni upi hasa?

Unaweza utatuabia kisayansi speed of light!? Na ilipimwaje.
Karibu kama siyo imani!?
Vilevike unaamini alama + ni kujumlisha!?
Mbona hiko kitu kinajulikana na majibu yake yalifanyika miaka ya 1600 huko.
walikuwa wanapima eclipse ya jupita wakawa wanaona tofauti ya dakika 11 . Hapo ndio wakajua speed ya light maana umbali wa dunia na jupita unajulikana
hapo kale watu walijua speed ya light ni infinity.

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Katika kitabu chetu kitukufu QUR'AN hakuna aya inayosema Adam na Hawa walikuwa weusi ama weupe,,,na kama QUR'AN hakuna aya inayosema basi usitegemee kupata kwingine. Qur'an ndio kila kitu.
 
Katika kitabu chetu kitukufu QUR'AN hakuna aya inayosema Adam na Hawa walikuwa weusi ama weupe,,,na kama QUR'AN hakuna aya inayosema basi usitegemee kupata kwingine. Qur'an ndio kila kitu.
kitabu hiko ni utopolo tuu .. lini sisimizi akaongea na mwanadamu yani sisimizi alikua anaongea na sulemani
 
Q'RAN TUKUFU inasema"MUNGU limuumba binadam kutoka kwa udongo mweusi,uliovunda na unaoltoa sauti unapogongana....."so m2 wa kwanza alikuwa mweusi.
 
Mungu alifinyanga udongo kuumba mwanadamu. Rangi ya udongo ni nyeusi au nyekundu, hakuna udongo mweupe. Kwa kutumia mantiki kilichofinyangwa ni cheusi au chekundu. Basi binadamu wa kwanza alikuwa Mwafrika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
QURAN (22:47)
And they urge you to hasten the punishment. But Allah will never fail in His promise. And indeed, a day with your Lord is like a thousand years of those which you count.
 
Inategemea kati ya jamii na jamii... asilimia kubwa ya jamii za kiafrika hatuna historia zetu hata za miaka 1000 iliopitia. Ila kwa watu kama wachina, wao wanahistoria za mpaka miaka 5000 iliopita... ivo ndiomaana wachina inakua ngumu kuwaaminisha kuhusu dini za kiabraham (mfn. Ukristo na uislam)
Unawaaminishaje kua miaka 5000 iliopita kulikua na ghalika dunia nzima wakat wao wanahistoria yao tofaut? Unawaaminishaje kua miaka 2000 iliopita yesu alikuja duniani wakat wao hawana hizo habari kabisa?
 
QURAN (22:47)
And they urge you to hasten the punishment. But Allah will never fail in His promise. And indeed, a day with your Lord is like a thousand years of those which you count.
Words from a fool
 
Sure ting
 
Binadamu wa mwanzo au Mtu wa mwanzo ?
 
Ni kitu wazi kwani udongo ilikuwa mweusi au mwekundu, alichagua udongo mweusi. Sasa huyu mtu mweupe katika wapi? Ni "aliens" walioshuka kutoka anga za juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…