nimeamini CBG siyo sayansi

nimeamini CBG siyo sayansi

mmmhhhh nahisi kuwa isolated na selikali yangu!
 
jaman kuna awamu ya tatu mcwaze kule hawaendi kula bata ni kwata 2 had unataman ukimbie tena
 
hebu toa uongo hapa nmimi ninachojua mwaka huu TO ana div1 ya point 4 sasa wewe cjui hyo yako umetolea wapi?[/QUOT
Shughulisha akili yako acha kukurupuka. Sasa mwenzako ametaja div 1 ya point 3 hapo?
Alichisema ana 3 ya PCB umekurupuka kwa kudhani div 1. Usimprovoke mtu kama hujamuelewa.
 
Madogo someni vizuri lile tangazo la JKT, walisema tangazo hilo haliwahusu wanafunzi waliomaliza kwenye zile shule ambazo mwaka jana walikwenda. Mfano Tabora Boys hakuna aliyechaguliwa, sasa je nyie hamjamaliza kwenye shule ambazo mwaka jana kaka zenu walikwenda JKT?
 
hyo cjaisikia mim 4rm where ?
 
wadau nina
chem C
bios. C
geogr D
bam. S
gs. F
na mimeachwa kwa jkt najiuliza maswali ambayo majibu yake siyaoni! au CBG nayo comb ya art?

CBG jeshini hawaitambui kama kombi ,me nakushauri achana nao japokuwa umefanya vizuri
 
Intake ya 3 subirini October/November wote wa art wenye III pamoja na wale wa sayansi ambao hamjapata.Ila intake yenu mtalima sana maana itakuwa masika
 
wapo hata PGM hawakuchaguliwa na kama unataka sana jipeleke mwenyewe
 
wadau nina
chem C
bios. C
geogr D
bam. S
gs. F
na mimeachwa kwa jkt najiuliza maswali ambayo majibu yake siyaoni! au CBG nayo comb ya art?

ucjar! Kuna awam ya 3 imetanganzwa! hao wataenda wakitoka awam hii ya pili! Xo utakuwepo 2 ucjar kma wewe umemalza form six na umefaulu lazima uende JKT kabla ya kujiunga chuo
 
aliamua kusoma nin? coz 4wat i knw cbg inawezekana kabisa kuxoma medicine
 
Back
Top Bottom