Nimeamini jamani hakuna kitu kigumu kama wajasiriamali

Aisee pole sana mama kev kumbe ndo maana Leo ukanikumbuka[emoji2][emoji2]

Manake ilikuwa sio kawaida yako mpaka nikutafute mm
 
Sana kuna mtu alikuwa ananiambia mtu yeyote anayefanya biashara akaweza kulaza faida walau ya buku 5 kwa siku muheshimu.
Maana yeye kajaribu biashara mbili tatu kaambulia uso hasara na akafunga[emoji23]
Kusimamisha biashara ikasimama na kuanza kupata faida ni shughuli pevu. Halafu ndio itokee kama haya yanayotokea haki waweza waza mabaya.

Pole sana mama, hali si hali kwa kila mmoja wetu.
 

Hakuna mfanyabiashara anayerudi kwa mama sema ulikuwa unasimamia mradi wa familia


Sent using IPhone X
 
Acha tu, ni shughuli pevu.
Sana kuna mtu alikuwa ananiambia mtu yeyote anayefanya biashara akaweza kulaza faida walau ya buku 5 kwa siku muheshimu.
Maana yeye kajaribu biashara mbili tatu kaambulia uso hasara na akafunga[emoji23]
 
Shogangu alikuwa anategemea Hotel kuuza kuku wake wa nyama.
Sasa wiki ya pili hakuna biashara kuku wameshakula faida na kiasi cha mtaji alichofanya ni kuwachinja baadhi kuwaweka kwenye friza wengine amewajza na mabarafu kwenye madeli anatembea nao kwenye gari ikitokea zali njiani kakuta kibanda vha chips anauza.
Na watu wa mahotel....hakuna wageni, wengi tutarudisha mpira kwa kipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…