Nimeamini Jamii Forums ni sehemu sahihi ambapo napaswa kuwepo;NIMEJIUNGA

Nimeamini Jamii Forums ni sehemu sahihi ambapo napaswa kuwepo;NIMEJIUNGA

Karibu sana cha msingi ni kuielewa mada iliyopo na kujua unachangia jinsi gani.Popote ulipo tunakufikia.
 
Aiseeee!!!!!
Pamoja na kuwa huu si uwanda wa kujitambulisha , lakini umenipiku mzee!
Masopakyindi nimetamba kwa muda kabla wanajamii hawajajua kuliquote hilo jina,lakini Benokolongokonongose ni kiboko!
Hilo jina ni sentesi tosha!!!!!!!!!!!!!!
 
Mh!Hilo jina.Karibu ila inaonekana jamaa ana rfk yake yuko humu na wanatumia simu au kompyuta 1 bila kusain upya.Karibu!
 
Aiseeee!!!!!
Pamoja na kuwa huu si uwanda wa kujitambulisha , lakini umenipiku mzee!
Masopakyindi nimetamba kwa muda kabla wanajamii hawajajua kuliquote hilo jina,lakini Benokolongokonongose ni kiboko!
Hilo jina ni sentesi tosha!!!!!!!!!!!!!!
yani hlo ni zaid ya sentensi!!!! hongera yake mwaya!!
 
Hili jina kiboko, Erickb52 unaweza kulitamka? Mimi nimeshindwa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom