brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Kanye ni next level bro.. dont measure
Kwa character ZA kanye hawez kununua follower... ana base nzuriMkuu hua wananunua followers Twitter...service ya kununua followers ipo official kabisa...Kanye West as a person is a disgrace to humanity,ila as an artist is the best...
si kweli.. hiyo huduma ipo ila kwa the big artist kama kanye west watu humfuata.. wanaonunua ni watu wa habari, bloggers etcMkuu hua wananunua followers Twitter...service ya kununua followers ipo official kabisa...Kanye West as a person is a disgrace to humanity,ila as an artist is the best...
What's the difference?Mkuu hua wananunua followers Twitter...service ya kununua followers ipo official kabisa...Kanye West as a person is a disgrace to humanity,ila as an artist is the best...
Mkuu hua wananunua followers Twitter...service ya kununua followers ipo official kabisa...Kanye West as a person is a disgrace to humanity,ila as an artist is the best...
followers wanauzwa kama hujui..af na utundu upo wa kimtandao.Ama kweli ukiwa na nyota ya kupendwa dunia yote hii utaiona tamu balaa
Mwanamuziki ambaye pia ni mume wa Kim Kardashian na muanzilishi wa dini ya yeezus Kanye West ana nyota ya kupendwa kwa kweli daaah, yaaan amejiunga juzi tu instagram lakini mpaka sasa ana wafuasi millioni 1 sasa je hapo ni siku tatu je akifikisha mwezi itakuaje??
Sio hawa wasanii wetu hawa wengine mpaka leo hata wafuasi millioni moja hawajafikisha ukiangalia wana miaka kibao ndani ya insta
View attachment 403514
View attachment 403515
Kwa character ZA kanye hawez kununua follower... ana base nzuri
Daaaah eti mazombi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkewe ana mazombi 85million......sasa thru mkewe unaweza shangaa mumewe akawapata mazombi wengi kwa siku chache zijazo.
How's he a disgrace?
Jigga!last yr kwenye kumbukumbu ya Michael Jackson alijunga IG ndani ya siku moja alikua na followers 1m kesho yake akajitoa IG
Wenzetu wana fan base kubwa ya dunia nzima ndo maana!