brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Ama kweli ukiwa na nyota ya kupendwa dunia yote hii utaiona tamu balaa
Mwanamuziki ambaye pia ni mume wa Kim Kardashian na muanzilishi wa dini ya yeezus Kanye West ana nyota ya kupendwa kwa kweli daaah, yaaan amejiunga juzi tu instagram lakini mpaka sasa ana wafuasi millioni 1 sasa je hapo ni siku tatu je akifikisha mwezi itakuaje??
Sio hawa wasanii wetu hawa wengine mpaka leo hata wafuasi millioni moja hawajafikisha ukiangalia wana miaka kibao ndani ya insta