Nimeamini Kuna wazee wengine wana ukoloni na roho mbaya sana

Nimeamini Kuna wazee wengine wana ukoloni na roho mbaya sana

Unqtaka mama apande gari ili pesa ziyayuke enhe?
Ukitaka kujua watu wanavyoish mbona utajichosha tu

Whats tha point kuwa na mali nyingi kama ni hvyo ?? Migari yote ya kazi gan kama hamna ma dereva ?? We unavyowahi kuamka asubuhi na kwenda mzigoni, ukiulizwa kinacho kufanya ufanye kazi kwa bidii, utajibu nini na kwa ajili ya nani ?? Wisen up bro.
 
Nashukuru kwa ushauri uliutoa hapo mwishoni. "Ndoa isikufanye ukapoteza kama sio kuziua kabisa ndoto zako". Ubarikiwe
 
Whats tha point kuwa na mali nyingi kama ni hvyo ?? Migari yote ya kazi gan kama hamna ma dereva ?? We unavyowahi kuamka asubuhi na kwenda mzigoni, ukiulizwa kinacho kufanya ufanye kazi kwa bidii, utajibu nini na kwa ajili ya nani ?? Wisen up bro.

hayo maneno mekundu ingependeza sana kama ungemwambia huyo mzee,
 
Aah ubarikiwe sana kwa maneno yako ya mwisho juu ya mwanamke na kama haujaoa Mungu akupe mke mwema na kama tayari ulienae na akutii siku zote.
Na huyo baba labda hizo mali ni za masharti kama sio uchoyo ndio unamsumbua.
 
Du, mkuu hii story ni sawa kabisa na ya huyu mzee jirani na hapa kwangu. Mzee ana pesa za kutosha lakini hamtunzi mkewe--anavaa malaplap na kujifunga kilemba, hata saluni haijui. Badala ya kuajiri shamba boy, mama ndiye anakata majani ya ng'ombe, kukamua na kufagia banda la ng'ombe. Mzee anazidi kuwa kijana--suruali huvalia tumboni. Mama anazidi kukongoroka na kuonekana kama kikongwe. Ukiambiwa kwamba hawa ni wanandoa huwezi kuamini. Mizee mingine ina roho mbaya hata zaidi ya mchawi/mlozi!!!!
 
hayo maneno mekundu ingependeza sana kama ungemwambia huyo mzee,

Sina muda na haja. Atajijua na maisha yake. Anachofanya yeye ni kufuru kwa Mungu. Watu tunajituma na kutamani tufikie mafanikio aliyo naye yeye ili familia zetu ziishi vizuri na kwa raha. Ila mwenzetu anafanya vice-versa. Unapata mke mzuri na potential yet anam nyanyasa na kumzeesha. Its a complete shame. Vitu vingne huwez sema watu wasifatilie life yake wakat ni vitu vinajionyesha wazi kwa jamii. Kwanza hyo story hapo juu nimefanya kupunguza makali tu. Ni vitu vingi tunaona.
 
Inawezekana dingi ana nia nzuri, hataki familia yake iingie kwenye mtego wa maagano ya kichawi ktk biashara zake.

Kwangu mimi hayo sio mafanikio, mafanikio sio kuwa na magari au utajiri ambao hauna manufaa kwa jamii yako; huo ni ufisadi na uharibifu wa nafsi.
 
Sina muda na haja. Atajijua na maisha yake. Anachofanya yeye ni kufuru kwa Mungu. Watu tunajituma na kutamani tufikie mafanikio aliyo naye yeye ili familia zetu ziishi vizuri na kwa raha. Ila mwenzetu anafanya vice-versa. Unapata mke mzuri na potential yet anam nyanyasa na kumzeesha. Its a complete shame. Vitu vingne huwez sema watu wasifatilie life yake wakat ni vitu vinajionyesha wazi kwa jamii. Kwanza hyo story hapo juu nimefanya kupunguza makali tu. Ni vitu vingi tunaona.
pole sana ndugu mkereketwa...
 
Back
Top Bottom