Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,689
- Thread starter
-
- #21
Unqtaka mama apande gari ili pesa ziyayuke enhe?
Ukitaka kujua watu wanavyoish mbona utajichosha tu
Whats tha point kuwa na mali nyingi kama ni hvyo ?? Migari yote ya kazi gan kama hamna ma dereva ?? We unavyowahi kuamka asubuhi na kwenda mzigoni, ukiulizwa kinacho kufanya ufanye kazi kwa bidii, utajibu nini na kwa ajili ya nani ?? Wisen up bro.
hayo maneno mekundu ingependeza sana kama ungemwambia huyo mzee,
pole sana ndugu mkereketwa...Sina muda na haja. Atajijua na maisha yake. Anachofanya yeye ni kufuru kwa Mungu. Watu tunajituma na kutamani tufikie mafanikio aliyo naye yeye ili familia zetu ziishi vizuri na kwa raha. Ila mwenzetu anafanya vice-versa. Unapata mke mzuri na potential yet anam nyanyasa na kumzeesha. Its a complete shame. Vitu vingne huwez sema watu wasifatilie life yake wakat ni vitu vinajionyesha wazi kwa jamii. Kwanza hyo story hapo juu nimefanya kupunguza makali tu. Ni vitu vingi tunaona.