Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Unafanya kazi ganNilikuwa na maisha magumu baada ya kuoa, ila nilipomzaa mtoto wangu wa kwanza P, maisha yakachange. Pesa haijakatika kwa miaka 3 mfululizo. Na ikikata pesa ndani ya masaa machache napata.
Sasa Jumatatu asubuhi nikampeleka P kwa maza wake mdogo aka shem. Duuuuhhh wiki hii pesa ilikata kabisa. Ndipo nikakumbuka maneno ya wife ambayo aliyasema muda kidogo kuwa kuzaliwa kwa P kumeleta neema.
Leo namfuata mtoto wangu.
Duuu mkuu umetishaNilikuwa na maisha magumu baada ya kuoa, ila nilipomzaa mtoto wangu wa kwanza P, maisha yakachange. Pesa haijakatika kwa miaka 3 mfululizo. Na ikikata pesa ndani ya masaa machache napata.
Sasa Jumatatu asubuhi nikampeleka P kwa maza wake mdogo aka shem. Duuuuhhh wiki hii pesa ilikata kabisa. Ndipo nikakumbuka maneno ya wife ambayo aliyasema muda kidogo kuwa kuzaliwa kwa P kumeleta neema.
Leo namfuata mtoto wangu.
AthubutuBasi kama unataka utajiri endelea kufyatua... Baadae utaelewa tu!
Mimi ni mtumishi wa umma na mfanyabiashara wa vilainishi vya magari na vifaa vya serviceUnafanya kazi gan
Hapo Kwa uma ww n dokta?Mimi ni mtumishi wa umma na mfanyabiashara wa vilainishi vya magari na vifaa vya service
Hapana. Mimi ni mshika kirunguHapo Kwa uma ww n dokta?