Kwani Vital ana sare ngapi na goli ngapi ugenini?Nilitarajia ungeona soni kwa hizo sare za wengine ulizotaja wakiwa ugenini
Ukianza kushabikia mpira uzeeni ndio matokeo yake haya.Katika michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika,Tanzania inawakilishwa na klabu ya Simba. Jana,Simba wamehitimisha michezo yako mitatu ya ugenini/nje ya Tanzania/kimataifa.
Katika michezo yote mitatu kule DR Congo,Misri na Algeria, Simba imepokea kichapo. Imekandikwa jumla ya mabao 12. Simba haijapata hata goli moja kwenye michezo yote ya ugenini.
Kwa kuthibitisha kuwa Simba ni wa ndani ya Tanzania,imeshinda michezo yake miwili Uwanja wa Taifa Dar es Salaam na imebakiza mchezo mmoja na AS Vita ya Congo tarehe 16/3/2019.
Kwa kukosa ushindi,sare au hata goli kwa mechi tatu nje ya Tanzania,nimeamini kuwa Simba si wa kimataifa. Yanga wanastahili kuitwa hivyo! Kufungwa kila mechi ya ugenini kutaipa vipi Simba nafasi ya kusonga mbele?
Mkuu,Nina uhakika haunishindi kuhusu Lini Mimi na wewe tumeanza kushabikia au kufuatilia kandanda. It has been all-my-life sport!Ukianza kushabikia mpira uzeeni ndio matokeo yake haya.
Shukuru Simba bila Simba usingeandika huu uzi.
As Vita kashinda mechi gani ugenini au wawe sio mfatiliaji wa Mpira?Katika michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika,Tanzania inawakilishwa na klabu ya Simba. Jana,Simba wamehitimisha michezo yako mitatu ya ugenini/nje ya Tanzania/kimataifa.
Katika michezo yote mitatu kule DR Congo,Misri na Algeria, Simba imepokea kichapo. Imekandikwa jumla ya mabao 12. Simba haijapata hata goli moja kwenye michezo yote ya ugenini.
Kwa kuthibitisha kuwa Simba ni wa ndani ya Tanzania,imeshinda michezo yake miwili Uwanja wa Taifa Dar es Salaam na imebakiza mchezo mmoja na AS Vita ya Congo tarehe 16/3/2019.
Kwa kukosa ushindi,sare au hata goli kwa mechi tatu nje ya Tanzania,nimeamini kuwa Simba si wa kimataifa. Yanga wanastahili kuitwa hivyo! Kufungwa kila mechi ya ugenini kutaipa vipi Simba nafasi ya kusonga mbele?
AS Vita ianzishie Uzi wako. Hapa naizungumzia Simba ya Tanzania yetu.As Vita kashinda mechi gani ugenini au wawe sio mfatiliaji wa Mpira?
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika,Tanzania inawakilishwa na klabu ya Simba. Jana,Simba wamehitimisha michezo yako mitatu ya ugenini/nje ya Tanzania/kimataifa.
Katika michezo yote mitatu kule DR Congo,Misri na Algeria, Simba imepokea kichapo. Imekandikwa jumla ya mabao 12. Simba haijapata hata goli moja kwenye michezo yote ya ugenini.
Kwa kuthibitisha kuwa Simba ni wa ndani ya Tanzania,imeshinda michezo yake miwili Uwanja wa Taifa Dar es Salaam na imebakiza mchezo mmoja na AS Vita ya Congo tarehe 16/3/2019.
Kwa kukosa ushindi,sare au hata goli kwa mechi tatu nje ya Tanzania,nimeamini kuwa Simba si wa kimataifa. Yanga wanastahili kuitwa hivyo! Kufungwa kila mechi ya ugenini kutaipa vipi Simba nafasi ya kusonga mbele?
As Vita yupo kundi moja na Simba uwezi kukataa kuzungumziwa...AS Vita ianzishie Uzi wako. Hapa naizungumzia Simba ya Tanzania yetu.
Mkude hachezi mechi ijayo...Yule Fabrice Ngoma wa AS Vita atatawala sana pale kati..Bwana mselwa. Kwanza ujue ili upate tiketi ya kwenda robo fainali una itaji point 9tu.
Sasa nakupa darasa. Simba ina mechi 1 mkononi tena ya nyumbani. Tuache ushabiki wa yanga tuongee ualisia rekodi ya simba katika hatu kabla ya kuingia makundi hata makundi haijapoteza mechi hata 1 ya nyumbani iyo ni advantage kubwa kwa simba.
16/3/ sio mbali mtakimbiana vita ataitambua simba kama alyaly alivyojuta kuifahamu. Nimwiko simba kushindwa nyumbani. Jikiteni kwa KMC Leo na ubingwa tunakuja kuubeba vyura nyie.
Ila wa Al Ahly wa chini sio?Hapa taifa dhidi ya as vita.. tutafungwa goli zaidi ya mbili.. mpira anaocheza vita ni.wa kiwango cha juu sana kuliko vilabu vyetu vyote hapa nchini..
Sent using Jamii Forums mobile app
Usikariri, maana ile ni sawa na bunley kuifunga man city ila levo zao ni tofauti mno......bila shaka jana uliona mechi ya vita na hao alhly jinsi vita alivyotawala mpira na kutengeneza nafasi nyingi za kufunga.. tukubali ukweli kuwa soka letu bado lipo chini.sana.. zaidi.sana.lipo midomoni, magazetini, tv na.redio.. tuna safari ndefu sana..
Mi nadhani soka la Africa haulitambui...Kila timu inakua Bora ikiwa nyumbani usiangalie mechi ya Jana...Al Ahly alitufunga goli 5 ndani ya dkk 42 wakaja taifa tuliona walivyopoteana...mpira Africa ni bado Tp mazembe alimfunga club Africain 8-0 lubumbashi baada ya wiki wanatoa sare 0-0 km mchambuzi wa mpira haiingii akilini forward iliofunga goli 8 ikashindwa kufunga hata goli moja au beki iliovuja kuruhusu goli 8 ikashindwa kuruhusu goli 8...kwaio lazma tujue Waafrica soka letu la mbinu mbinu na fitinaUsikariri, maana ile ni sawa na bunley kuifunga man city ila levo zao ni tofauti mno......bila shaka jana uliona mechi ya vita na hao alhly jinsi vita alivyotawala mpira na kutengeneza nafasi nyingi za kufunga.. tukubali ukweli kuwa soka letu bado lipo chini.sana.. zaidi.sana.lipo midomoni, magazetini, tv na.redio.. tuna safari ndefu sana..
Sent from my R8107 using Tapatalk
Mpaka sasa hivi Simba amecheza mechi 5 za ugenini kwenye CAF champions league. Amefanikiwa kufunga magoli matano ya ugenini.Katika michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika,Tanzania inawakilishwa na klabu ya Simba. Jana,Simba wamehitimisha michezo yako mitatu ya ugenini/nje ya Tanzania/kimataifa.
Katika michezo yote mitatu kule DR Congo,Misri na Algeria, Simba imepokea kichapo. Imekandikwa jumla ya mabao 12. Simba haijapata hata goli moja kwenye michezo yote ya ugenini.
Kwa kuthibitisha kuwa Simba ni wa ndani ya Tanzania,imeshinda michezo yake miwili Uwanja wa Taifa Dar es Salaam na imebakiza mchezo mmoja na AS Vita ya Congo tarehe 16/3/2019.
Kwa kukosa ushindi,sare au hata goli kwa mechi tatu nje ya Tanzania,nimeamini kuwa Simba si wa kimataifa. Yanga wanastahili kuitwa hivyo! Kufungwa kila mechi ya ugenini kutaipa vipi Simba nafasi ya kusonga mbele?
As Vita kashinda mechi gani ugenini au wawe sio mfatiliaji wa Mpira?
Sent using Jamii Forums mobile app