Nimeamini kuwa Simba SC si 'wa kimataifa'

Nimeamini kuwa Simba SC si 'wa kimataifa'

Katika michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika,Tanzania inawakilishwa na klabu ya Simba. Jana,Simba wamehitimisha michezo yako mitatu ya ugenini/nje ya Tanzania/kimataifa.

Katika michezo yote mitatu kule DR Congo,Misri na Algeria, Simba imepokea kichapo. Imekandikwa jumla ya mabao 12. Simba haijapata hata goli moja kwenye michezo yote ya ugenini.

Kwa kuthibitisha kuwa Simba ni wa ndani ya Tanzania,imeshinda michezo yake miwili Uwanja wa Taifa Dar es Salaam na imebakiza mchezo mmoja na AS Vita ya Congo tarehe 16/3/2019.

Kwa kukosa ushindi,sare au hata goli kwa mechi tatu nje ya Tanzania,nimeamini kuwa Simba si wa kimataifa. Yanga wanastahili kuitwa hivyo! Kufungwa kila mechi ya ugenini kutaipa vipi Simba nafasi ya kusonga mbele?
Tuache mkuu tupo busy tunajitaarisha na mechi ya vita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana mselwa. Kwanza ujue ili upate tiketi ya kwenda robo fainali una itaji point 9tu.

Sasa nakupa darasa. Simba ina mechi 1 mkononi tena ya nyumbani. Tuache ushabiki wa yanga tuongee ualisia rekodi ya simba katika hatu kabla ya kuingia makundi hata makundi haijapoteza mechi hata 1 ya nyumbani iyo ni advantage kubwa kwa simba.

16/3/ sio mbali mtakimbiana vita ataitambua simba kama alyaly alivyojuta kuifahamu. Nimwiko simba kushindwa nyumbani. Jikiteni kwa KMC Leo na ubingwa tunakuja kuubeba vyura nyie.
Sio lazima kuwa Simba watashinda kwa AS Vita, mechi itakuwa ngumu sana na tunaweza kufungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,kwanza naitwa Mselewa na si Mselwa. Pili,mmetia aibu kwenye mechi za makundi kutopata sare au goli ugenini. Tatu,mkulishatolewa mrudi kuchachisha viporo vyenu na ubingwa hampati. Hifadhi maoni yangu haya. Simba ikitoka sare na Vita,matokeo yoyote ya Waarabu yatawavusha Waarabu wote.
Mkuu hata All ahly akifungwa atavuka tu? Labda bahari ya Sham.
 
Katika michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika,Tanzania inawakilishwa na klabu ya Simba. Jana,Simba wamehitimisha michezo yako mitatu ya ugenini/nje ya Tanzania/kimataifa.

Katika michezo yote mitatu kule DR Congo,Misri na Algeria, Simba imepokea kichapo. Imekandikwa jumla ya mabao 12. Simba haijapata hata goli moja kwenye michezo yote ya ugenini.

Kwa kuthibitisha kuwa Simba ni wa ndani ya Tanzania,imeshinda michezo yake miwili Uwanja wa Taifa Dar es Salaam na imebakiza mchezo mmoja na AS Vita ya Congo tarehe 16/3/2019.

Kwa kukosa ushindi,sare au hata goli kwa mechi tatu nje ya Tanzania,nimeamini kuwa Simba si wa kimataifa. Yanga wanastahili kuitwa hivyo! Kufungwa kila mechi ya ugenini kutaipa vipi Simba nafasi ya kusonga mbele?
Umeanza vizuri lkn ulipoanza kuitukuza Yanga kuwa ndio wanapaswa kuwa wa kimataifa nikakushangaa!

Simba wamefungwa magoli 12 kwenye mechi 3 za CAF champions league, ukija kwenye ligi yetu Simba ndio wamefungwa mabao machache kuliko hao Yanga unaodai kuwa ni bora, sasa ubora wa Yanga uko wapi? Pili, hizo mechi za CAF, Yanga mwaka jana alishiriki mashindano mawili-CAF champions na Confederation, alishimda mechi ngapi uwanja wa Taifa? Alitoa sare ngapi uganini?

NB: Yanga aipigwa 6-1 huko Morocco!

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitarajia ungeona soni kwa hizo sare za wengine ulizotaja wakiwa ugenini
Hao wanaopata sare ugenini, walitoa sare pia nyumbani kwao. Kupata sare nyumbani na ugenini ni mbaya kuliko kufungwa moja ugenini na kushinda nyingine nyumbani. Ukipata sare home and away utapata point 2, wakati ukipoteza ugenini ukashinda home utapata point 3. Mkuu ungeendelea kujikita kwenye siasa
 
Kaka mleta uzi umesahau pale chini kuweka hili neno "POVU RUKSA"
 
Watapoteana hao tu baada ya tarehe 16. Na hapo ndipo gundu litakapoanzia, hata mechi za TPL ataanza kupotea, Mark my word.
 
Ni yanga ipi ya kimataifa unayoizungumzia? Ni hii ambayo haijaingia group stage ya ligi ya mabingwa kwa zaidi ya miaka 20? Ni hii ambayo ilipojikongoja na kuingia group stage ya kombe la CAF ilimaliza mara zote ikiwa ya mwisho ikiwa na pointi 4 kila kipindi dhidi ya timu zenye uzito mwepesi kama Rayon, Gormahia, MO Bejaia, Medeama, n.k? Huwezi kuwa serious!

Ngazi waliyofikia Simba ni kubwa sana kwa viwango vya Tanzania, na ushindi wowote Jumamosi hii ni robo fainali moja kwa moja. Inastahimili heshima kwa timu zote za Tanzania.
 
How to make 1M+ in 10days using 1000 Tsh

Rule 1 don't be greedy...
Rule 2 look for 2 sure odds and don't add more odds

Day 1-1000×2=2000
Day 2-2000×2=4000
Day 3-4000×2=8000
Day 4-8000×2=16000
Day 5-16000×2=32000
Day 6-32000×2=64000
Day 7-64000×2=128000
Day 8-128000×2=256000
Day 9-256000×2=512000
Day 10-512000×2=1,000,000 plus
This happens only kwa kuweka mikakati kabambe na kuacha tamaa,[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji4][emoji4]
Follow hii link hapa chini twende sawa [emoji1484][emoji1484][emoji1484]
Winning Zone (2+ Odds) ⚽

Please share[emoji115][emoji2535]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeanza vizuri lkn ulipoanza kuitukuza Yanga kuwa ndio wanapaswa kuwa wa kimataifa nikakushangaa!

Simba wamefungwa magoli 12 kwenye mechi 3 za CAF champions league, ukija kwenye ligi yetu Simba ndio wamefungwa mabao machache kuliko hao Yanga unaodai kuwa ni bora, sasa ubora wa Yanga uko wapi? Pili, hizo mechi za CAF, Yanga mwaka jana alishiriki mashindano mawili-CAF champions na Confederation, alishimda mechi ngapi uwanja wa Taifa? Alitoa sare ngapi uganini?

NB: Yanga aipigwa 6-1 huko Morocco!

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
Aongelee Siasa mpira na yeye ni sawa na kumwuuzia kipofu miwani.
Ajikite kwenye siasa mpira aachie wenyewe.
Unajaza maji kwenye gunia hawezi kukuelewa.
 
IMG-20190311-WA0002.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom