Aibu budaHapa taifa dhidi ya as vita.. tutafungwa goli zaidi ya mbili.. mpira anaocheza vita ni.wa kiwango cha juu sana kuliko vilabu vyetu vyote hapa nchini..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mpira umeshaisha pale taifaHapa taifa dhidi ya as vita.. tutafungwa goli zaidi ya mbili.. mpira anaocheza vita ni.wa kiwango cha juu sana kuliko vilabu vyetu vyote hapa nchini..
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo huku kumenoga.Tunaujua mpira.Nilichosema ndicho kilichotokea.
Hata hujui nini sababu za timu,uwanja wa ndege au kitu kingine chochote kuitwa Cha kimataifa.wewe bush lawyer hivi uwanja wa kimataifa wa Julias Nyerere unaitwa International Airport kwa kuwa upo Kenya?
Akikujibu naenda kuweka kambi Vita club kama ZaheraKatika Moja ya Nyuzi za Kipumbavu zilizoidhalilisha JF basi Uzi huu.
Sasa hao Yanga wakimataifa tuambie mara ya mwisho kufika hatua hii ya Robo Fainali ni mwaka gani?
Rudia tenaHapa taifa dhidi ya as vita.. tutafungwa goli zaidi ya mbili.. mpira anaocheza vita ni.wa kiwango cha juu sana kuliko vilabu vyetu vyote hapa nchini..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitisha kwa uchambuzi huo...... hekoItaje timu iliyobeba point tatu ugenini ktk kundi D.
Sauora kasare home and away kashinda 2 home=8
Al hly kasare away 1 kashinda2 hone =7
Vital kashinda home 2 kasare 1 home =7
Simba kashinda 2 home kapoteza away zote =6
Timu zote zinazomalizia nyumbani ndo zina advantage ya kusonga mbele and not otherwise.
Sent using Jamii Forums mobile app
rudia tenaMkude hachezi mechi ijayo...Yule Fabrice Ngoma wa AS Vita atatawala sana pale kati..
Kula like 5 mkuuItaje timu iliyobeba point tatu ugenini ktk kundi D.
Sauora kasare home and away kashinda 2 home=8
Al hly kasare away 1 kashinda2 hone =7
Vital kashinda home 2 kasare 1 home =7
Simba kashinda 2 home kapoteza away zote =6
Timu zote zinazomalizia nyumbani ndo zina advantage ya kusonga mbele and not otherwise.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kula 5 mkuuBwana mselwa. Kwanza ujue ili upate tiketi ya kwenda robo fainali una itaji point 9tu.
Sasa nakupa darasa. Simba ina mechi 1 mkononi tena ya nyumbani. Tuache ushabiki wa yanga tuongee ualisia rekodi ya simba katika hatu kabla ya kuingia makundi hata makundi haijapoteza mechi hata 1 ya nyumbani iyo ni advantage kubwa kwa simba.
16/3/ sio mbali mtakimbiana vita ataitambua simba kama alyaly alivyojuta kuifahamu. Nimwiko simba kushindwa nyumbani. Jikiteni kwa KMC Leo na ubingwa tunakuja kuubeba vyura nyie.
Habari unayoUnderdogs wamechachamaa kwenye uzi huu wana jazba za ķufungwa
Alianzia jana hiyohiyo mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Watapoteana hao tu baada ya tarehe 16. Na hapo ndipo gundu litakapoanzia, hata mechi za TPL ataanza kupotea, Mark my word.
Povu linatoka kwenu sasa! Eti wamepuliziwa dawa! Ha ha haaaa! Na Lipuli je?Kaka mleta uzi umesahau pale chini kuweka hili neno "POVU RUKSA"