Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Club zetu unaziona zinvyotamba kwenye ligi ya ndani, ukiwaona wachezaji wao wanavyoumiliki na kuuchezea mpira watakavyo utasema hii ni bonge la timu
, hata wasemaji na mashabiki wao utawasikia wakisema Madrid hapa anapasuka, aje Man City hapa anakaa, lakini zikivuka mipaka tena hapa hapa ndani ya Afrika tu ni kama kuku aliyenyeshewa,
Mechi tatu za hatua ya makundi lakini timu inashika mkia huku ikiwa imeambulia pointi mbili tu
Hii ligi kweli dhaifu