Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Hata ligi ya uingeleza ni mbovu maana Man U na Newcastle wamemaliza wa mwisho kwenye makundiClub zetu unaziona zinvyotamba kwenye ligi ya ndani, ukiwaona wachezaji wao wanavyoumiliki na kuuchezea mpira watakavyo utasema hii ni bonge la timu
, hata wasemaji na mashabiki wao utawasikia wakisema Madrid hapa anapasuka, aje Man City hapa anakaa, lakini zikivuka mipaka tena hapa hapa ndani ya Afrika tu ni kama kuku aliyenyeshewa,
Mechi tatu za hatua ya makundi lakini timu inashika mkia huku ikiwa imeambulia pointi mbili tu
Hii ligi kweli dhaifu
Kuna Man City, Arsenal ambazo zimeongoza makundiHata ligi ya uingeleza ni mbovu maana Man U na Newcastle wamemaliza wa mwisho kwenye makundi
Itakua ligi ya ivory coast ni bora sababu ASEC Memosas wanaongoza kundiUpuuzi wa mleta mada!, Vipi whydad na ligi ya Morocco ni ya ngapi?.
Basi usha pata pichaKuna Man City, Arsenal ambazo zimeongoza makundi