Mke ni ubavu wa pili kwasababu tu ya mapishi?
Inaonekana Tangazo la rombo hotel hujawahi kuliona
It's Scars
Hongera Sana kwa kupata mke anaejua Mapishi
Nimemkumbuka Mzee mmoja aliwahi kuniambia
Raha ya mke ni mke anaejua kucheza na mwiko jikoni
Namuomba Mungu na Mimi nipate Mke kama wakwako
Maana kila siku nakula vyakula vya hovyohovyo
Umejua kunichekesha looh, asante.
Kati ya wanaume nnaofahamiana nao, wengi wao wanajua au wanapenda kupika.... Kila nikiwaambia naomba nije kuonja mapishi yako wananipotezea...
Tatizo sio mkeo kuondoka,,Tatizo hujui kupika.
Wakati bimkubwa na dadazangu walipokuwa wananifundisha kupika nilikuwa nachukia sana lakini sasa naiona faidayake
Najua kupika vyakula tofauti tofauti adi nipoishi wanishangaaKongole kwa bi mkubwa na dada.
Unaweza kupika vyaula aina tofauti?
Najua kupika vyakula tofauti tofauti adi nipoishi wanishangaa
Dah.... Chumvi gani unatumia mkuu? Sodium Chloride au Potassium chloride? [emoji2960]We nae acha uzembe bana. Mbona kupika kazi rahisi tu. Anyway, niko napika hapa. Eti ukizidisha chumvi kwenye tambi unafanyaje waungwana? Au nitafute chips?