mambio
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 2,668
- 3,428
Ilikuwa ni alhamisi wiki iliyopita nikiwa Mbeya uyole niliona kitu cha kushangaza. Leo nawaletea hapa.
Siku hiyo nikiwa stend uyole mbeya nikisubiri gari za kwenda Dar maarufu "hakuna kulala" nikiwa sina hili wala lile ghafla mama wa makamo kwa muonekano ni msafiri pia akawa analalamika kapoteza simu zake mbili
Inaonekana kibaka alimkwapulia kutoka ktk mkoba wake, Ila hakuna aliyejali wala kumzingatia.
Mara mama akaomba aoneshwe sehemu kilipo choo. Baada ya kutoka chooni karudi kakaa palepale stend kwa utulivu kabisa.
Hazikupita dakika kumi Kijana mpiga debe wa pale pale stend Uyole akawa anakuja mbio uelekeo wa yule mama huku akijishika makalio analalama anaingiliwa kinyume🤣. Yaani zile simu zinamf×ra.
Kufika kwa mama akamkabidhi simu huku akilalama kuendelea kuingiliwa. Mama baada ya kupokea simu akamwambia "Nyooo... leo umefi;;;a na mwanamke" watu wote waliokuwa eneo lile mbavu hawana.
Inasemekana mama ni mtu wa Sumbawanga huko na ndio alikuwa anaelekea huko.
UCHAWI UPO