Nimeamini kweli uchawi upo

Nimeamini kweli uchawi upo

Za muda huu
Niende kwenye mada moja kwa moja nimejaribu kuwasikiliza watu wengi juu ya visa vyao vya kichaw walivo pitia ila yaan naona haiingii akilini kabisa na kuamin hii kitu jaman.
 
Wajinga mtazidi kupigwa

Huo ni mtego ili akitokea mjinga amfuate yule mama amsaidie jambo flani ili apigwe, na hapo stendi lazima Kuna wajinga walipigwa tu

Kama ana uwezo huo kwanini asizuie zisichukuliwe, eti zimeshachukuliwa ndo zinageuka kua mabasha

Pathetic!
Mjinga huwez elewa
 
Back
Top Bottom