Nimeamini maneno ya wahenga: Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu

Tuko mtaa mmoja, kanisimamisha wakati napita barabarani nisingeweza kumchunia. Unajua kwenye jamii yetu tuko michangany
Sawa dada lakini kama alipata ujasiri wa kukusimamisha chunga isije siku nyingine akapata ujasiri wa kukusimamishia, hapo ndipo kwa hasira nitamtia kwenye kumbukumbu ya wanamtaa kuwa paliwahi kuwa na jambazi mtaani aliye nyofolewa makende yake kisha akalazimisha kuyala mabichi kisha baada ya siku mbili aliaga ulimwengu kwa kutokwa na damu nyingi.
 
hahahahaahahahaahah, aiseee hahahahahahahhaha, utafungwa
 
kufungwa kwaajili yako its ok.
Ingekuwa kweli wanaume mna "maanisha" ingekuwa safi sana, lakini, mmmmmmh! nyie ni mabingwa wa kumpamba mwanamke hadi anaamini. hahahahahhaaha. nawaogopa sana wanaume ni waongo walio wengi wao. hahahahahaha
 
Dada NAHUJA wanaume wote tuko sawa ila hatufanani, kuna species ya wanaume ambao tupo wachache sana, try me na ujue tofauti.
 
Sawa dada lakini kama alipata ujasiri wa kukusimamisha chunga isije siku nyingine akapata ujasiri wa kukusimamishia, hapo ndipo kwa hasira nitamtia kwenye kumbukumbu ya wanamtaa kuwa paliwahi kuwa na jambazi mtaani aliye nyofolewa makende yake kisha akalazimisha kuyala mabichi kisha baada ya siku mbili aliaga ulimwengu kwa kutokwa na damu nyingi.
Siku hizi kawa mzee wa kanisa. Kuna kanisa hapo mtaani sasa ni mzee wa kanisa. hahhahha
 
Back
Top Bottom