holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
Wakuu
Atakaye kuambia mapenzi ni pesa basi atakuwa anakudanganya na usimwamini.
unaweza kuta mtu ni fukara,na kula yake ni mpaka aende vibaruani ila ana wake wawili na wanamuelewa vizuri tu
hali imekuwa tofauti kwangu,nilioa 2010 na mpaka kufikia 2016 tufanikiwa kupata watoto wawili,mke wangu akawa mtu wa kutoroka tu pasipo sababu,yani hujampiga,hamjagombana ila mwenzako anatoroka tu anaenda unapambana unamrudisha anasema yani moyo huwa unaona bure tu kukaa home
lakini nikaona isiwe tabu ngoja nioe mke wa pili,nikaoa wa miaka 18 alipozaa tu nae akaanza kujifaragua, mala alikosea kuolewa na mzee wakati wakati huo nilikuwa na miaka 28 tu,maisha yakasonga nikiwa na wake wawili,huyo mdogo akatoroka nikaamua nitemane nae mazima na wazazi wake nikawadai mahari wakarudisha
nikabaki na mkubwa,hali ikaendelea kuwa hivyo hivyo,akatoroka sikujishughulisha nae,nikaamua nioe tena,kweli nikaoa,nikajiapiza kuwa huyu nae akijifaragua sitaoa tena mpaka kifo.
nimekaa kama mwaka na nusu....... endelea ktk komenti.