Nimeamini Mapenzi Sio Pesa, Fuatilia Kisa Changu Hiki.

holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
1,859
Reaction score
2,986
Wakuu
Atakaye kuambia mapenzi ni pesa basi atakuwa anakudanganya na usimwamini.

unaweza kuta mtu ni fukara,na kula yake ni mpaka aende vibaruani ila ana wake wawili na wanamuelewa vizuri tu

hali imekuwa tofauti kwangu,nilioa 2010 na mpaka kufikia 2016 tufanikiwa kupata watoto wawili,mke wangu akawa mtu wa kutoroka tu pasipo sababu,yani hujampiga,hamjagombana ila mwenzako anatoroka tu anaenda unapambana unamrudisha anasema yani moyo huwa unaona bure tu kukaa home

lakini nikaona isiwe tabu ngoja nioe mke wa pili,nikaoa wa miaka 18 alipozaa tu nae akaanza kujifaragua, mala alikosea kuolewa na mzee wakati wakati huo nilikuwa na miaka 28 tu,maisha yakasonga nikiwa na wake wawili,huyo mdogo akatoroka nikaamua nitemane nae mazima na wazazi wake nikawadai mahari wakarudisha

nikabaki na mkubwa,hali ikaendelea kuwa hivyo hivyo,akatoroka sikujishughulisha nae,nikaamua nioe tena,kweli nikaoa,nikajiapiza kuwa huyu nae akijifaragua sitaoa tena mpaka kifo.

nimekaa kama mwaka na nusu....... endelea ktk komenti.
 
Nimekaa kama mwaka hivi nikiwa na mke wangu mpya,yule mkubwa akarudi,kwa vile ana watoto wawili basi nikamkaribisha vzr tu na kufikisha wake wawili,ila huyu mgeni nikamjengea nyumba yake nae akawa na kwake,nimfanikiwa kupata nae watoto wawili ila ndiye anaongoza kwa utorokaji,kidogo tu kwao,mala naumwa niende home yani tafrani sana. Huyu mkubwa ametulia,ila haka kadogo mmh!Kananishinda

Japokuwa nina mali kila kitu ila ni hivyo bado sijatulia na family yangu jamani,wake wangu wananizingua,

Nyie mnafanyaje mpaka familia zenu zimetulia wakuu?
 
893887927.jpg
 
Kule kwetu kusini, hadithi hii ungekuwa unampa Mzee wako basi jibu lingekuwa hili "wewe mwanangu ni pungu" na akishakupa Hilo jibu anainuka anaenda zake kwenye ulaka na gongo.
 
Hao Wanawake wasiopenda Pesa wako wapi miaka hii?

Tangu Simu za Mkononi kuanza kupatikana Kwa urahisi, pamoja na kuanza kutolewa Kwa huduma za Pesa kupitia miamala ya Simu

Bila kusahau michezo ya Vikoba ilipoasisiwa miaka ya 2010

Hapo ndipo Wanawake walipoachana na msamiati Kupenda, badala yake wakaasisi neno la "Hapendwi Mtu, Bali Pochi yake"
 
mimi si mtu wa kukaa sana home kutokana na mishe zangu halali za kujitaftia mali, sababu hazieleweki hovyo tu na kila tukikaa katika usuluhishi lazma waonekane wana makosa.
Inawezekana hiyo ndio sababu
 
Kuna kaka yangu mke wake alikuwa na tabia kama hiyo, chanzo ilikuwa ni upweke, jamaa alikuwa anafanya kazi ziwani, anarudi hata baada ya wiki mbili na zaidi
 
Mi hitimisho langu ni kuwa mwanamke ni kama kipepeo anatua mahali anapotaka
Unaweza kudhani una ushawishi kwake ila akaenda mahali hadi ukashangaa we na majirani zako
 
Wakuu
Atakaye kuambia mapenzi ni pesa basi atakuwa anakudanganya na usimwamini.

unaweza kuta mtu ni fukara,na kula yake ni mpaka aende vibaruani ila ana wake wawili na wanamuelewa vizuri tu

hali imekuwa tofauti kwangu,nilioa 2010 na mpaka kufikia 2016 tufanikiwa kupata watoto wawili,mke wangu akawa mtu wa kutoroka tu pasipo sababu,yani hujampiga,hamjagombana ila mwenzako anatoroka tu anaenda unapambana unamrudisha anasema yani moyo huwa unaona bure tu kukaa home

lakini nikaona isiwe tabu ngoja nioe mke wa pili,nikaoa wa miaka 18 alipozaa tu nae akaanza kujifaragua, mala alikosea kuolewa na mzee wakati wakati huo nilikuwa na miaka 28 tu,maisha yakasonga nikiwa na wake wawili,huyo mdogo akatoroka nikaamua nitemane nae mazima na wazazi wake nikawadai mahari wakarudisha

nikabaki na mkubwa,hali ikaendelea kuwa hivyo hivyo,akatoroka sikujishughulisha nae,nikaamua nioe tena,kweli nikaoa,nikajiapiza kuwa huyu nae akijifaragua sitaoa tena mpaka kifo.

nimekaa kama mwaka na nusu....... endelea ktk komenti.
Tatizo litakuwa kwako wala si pesa
 
Unapoambiwa KATAA NDOA uwe unaelewa unaona sasa unavyopuyanga.
 
Wewe ndio mwenye matatizo,jichunguze
 
Back
Top Bottom