MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Kama uteuzi ni kutafuta kipato na umaarufu basi Pasco Mayalla hauhitaji huo uteuzi maana vyote hivyo anavipata kwenye maonesho ya sabasaba.
Ukweli jamaa anaupiga mwingi sana kwenye maonesho ya sabasaba. Kila banda unamkuta mwandishi Pasco Mayalla anawaweka wafanyabiashara na wajasiriamali hewani.
Ukiwasha kila chaneli kubwa ya televisheni hapa Tanzania, unamkuta Pasco Mayalla kavimba akifanya matangazo yale ya moja kwa moja na yale ya kurekodiwa.
Nasikia sasa hivi jamaa anaonekana hapa kwenye vyombo vya habari vya nchini Kenya, Uganda na Rwanda.
Kila la kheri mwandishi nguli