Nimeamini Pasco Mayalla hataki uteuzi, anaupiga mwingi sana huku Sabasaba

Nimeamini Pasco Mayalla hataki uteuzi, anaupiga mwingi sana huku Sabasaba

Kama kumbukumbu zangu zipo sawa, Pascal aliwahi kulisema hili humu jukwaani kuhusu yeye kuteuliwa u DC, alitaja kipato chake vs mshahara wa DC, i think ilikua mwanzoni mwa utawala wa mhe wa awamu ya 5
 
Hivi kwanini mnamuandama sana huyu mzee hapa JF, ni wapi alishasema anataka teuzi au ni vile tunashindwa kuappreciate quality za watu kama walivyo?
Ni kwa sababu Pascal Mayalla ni superstaa! Hivyo ni kawaida kwa mtu maarufu kujadiliwa na kufuatiliwa maisha yake! Mtu kama wewe hakuna atakaye kujadili. Maana hujulikani.

Na kama angekuwa hafurahishwi na kujadiliwa kwake humu, angeshakuja kutoa malalamiko. Ila kwa bahati mbaya, mtazamo wake uko tofauti kabisa na huu wa kwako. Halafu siyo lazima aje ajitangaze humu kuutaka huo uteuzi! Maana ni watu wachache sana wasiopenda uteuzi.

Mkuu Pascal Mayalla , wewe kula tu hela za matangazo ya Sabasaba. Na mwezi ujao tena kula tena yale ya nane nane! Na ukipata uteuzi wowote ule! Wewe kula tu! Ni wakati wako huu wa kutembea kifua mbele kama kuku aliye nyonyolewa! Hakuna namna!

You are a SuperStar!!
 
Ni sawa
 
Kama uteuzi ni kutafuta kipato na umaarufu basi Pasco Mayalla hauhitaji huo uteuzi maana vyote hivyo anavipata kwenye maonesho ya sabasaba.

Ukweli jamaa anaupiga mwingi sana kwenye maonesho ya sabasaba. Kila banda unamkuta mwandishi Pasco Mayalla anawaweka wafanyabiashara na wajasiriamali hewani.

Ukiwasha kila chaneli kubwa ya televisheni hapa Tanzania, unamkuta Pasco Mayalla kavimba akifanya matangazo yale ya moja kwa moja na yale ya kurekodiwa.

Nasikia sasa hivi jamaa anaonekana hapa kwenye vyombo vya habari vya nchini Kenya, Uganda na Rwanda.
Kila la kheri mwandishi nguli
Magu angemuua kwa njaa,mpaka vifaa vyake viliota kutu alibanwa kila kona
 
Anajitahidi ila uteuzi bado anautaka pia...

Hakuna mtanzania ambaye hataki uteuzi,, ni vile connection hamna...
 
Si tumlichagua humu awe Waziri wa Habari.
Au sio jamni?
Jf ina watu wangapi ulinganishe na Dc wa Buhigwe
 
Nasikia sasa hivi jamaa anaonekana hapa kwenye vyombo vya habari vya nchini Kenya, Uganda na Rwanda.
Kila la kheri mwandishi nguli
Mkuu Msaga Sumu, sio naonekana, bali nawatengenezea kipindi nchi zote za Afrika Mashariki na vipindi hivyo vinarushwa kwenye TV za Taifa za nchi zao.
Hizi ni baadhi ya clips za East Africa

Nimezunguka sana EAC, hivyo mimi sio tuu ni Mtanzania, mimi ni citizen of EAC!.
Not only naongea na wananchi wa kawaida wa EAC, naongea hadi na marais on one on one kama hapa

P
 
Kama uteuzi ni kutafuta kipato na umaarufu basi Pasco Mayalla hauhitaji huo uteuzi
Mkuu MSAGA SUMU, ni kweli
Tumuombee mwanaJF Pascal Mayalla apitishwe

Wote tuseme Amen!
Mkuu Yahana Mbatizaji, johnthebaptist , amen, amen!.
Hili jambo nimelianzia hapa Wana JF, niko mbele yenu kwa unyenyekevu kuomba baraka zenu & moral support yenu jambo langu hili liwe! Mniombee Mungu asaidie, awezeshe liwe!
Nikakumbana na Kikwazo cha kwanza hapa Licha ya vikwazo kadhaa, hatimaye nimefanikiwa kuianza ile safari. Asanteni kwa sala zenu zimesaidia ila bado zinahitajika sana! Mungu nisaidie
Nikatoa ushauri kwa chama changu kuhusu EALA Ubunge EALA, Wito Kwa CCM, Msiangalie Ukwasi, Tuteulieni, Wazalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Wenye Uwezo na Uzoefu wa Kimataifa Kutuwakilisha Ipasavyo
Kazi ya Uelimishaji Umma kuhusu EAC inaendelea Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Fursa za Mtangamano
Tukaitwa Dodoma kuhojiwa, huko nikakutana na A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!
Sasa leo ndio kikao cha CC kuchuja majina, hivyo sala zenu zinahitajika sana kuliko wakati mwingine wowote!.
Mungu Nisaidie!.
P
 
Back
Top Bottom