MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
hakuna jipya kila mwaka anafanyaNi kwa muda tu msimu huu ukiisha anarudi mtani kupigwa njaa kusubiri tena nane nane kama ataula tena hicho sio kibarua cha kudumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap
Hujanielewa hata..
Mkuu unaufahamu uteuzi lakini?Kama uteuzi ni kutafuta kipato na umaarufu basi Pasco Mayalla hauhitaji huo uteuzi maana vyote hivyo anavipata kwenye maonesho ya sabasaba.
Ukweli jamaa anaupiga mwingi sana kwenye maonesho ya sabasaba. Kila banda unamkuta mwandishi Pasco Mayalla anawaweka wafanyabiashara na wajasiriamali hewani.
Ukiwasha kila chaneli kubwa ya televisheni hapa Tanzania, unamkuta Pasco Mayalla kavimba akifanya matangazo yale ya moja kwa moja na yale ya kurekodiwa.
Nasikia sasa hivi jamaa anaonekana hapa kwenye vyombo vya habari vya nchini Kenya, Uganda na Rwanda.
Kila la kheri mwandishi nguli
Sabasaba ipo kuanzia January hadi Dec?Hujanielewa hata..
Nimekuuliza hayo matangazo au hiyo kazi anaifanya kuanzia januari hadi desemba ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Rejea coment yangu ndio maana nimesema hiyo kazi sio ya kudumu itaisha kesho kutwa atarudi uraiani kupigwa njaa hadi nane nane tena nayo ikipita bado atarudi tena kupigwa njaaSabasaba ipo kuanzia January hadi Dec?
Nadhani anakula kwake na hajawahi kukuomba msaada hata siku moja, watanzania tuheshimu watu, wewe kama unakazi nzuri ni yako na familia yako na usitake watu wote wawe na maisha mazuri kama yako mkuu.Rejea coment yangu ndio maana nimesema hiyo kazi sio ya kudumu itaisha kesho kutwa atarudi uraiani kupigwa njaa hadi nane nane tena nayo ikipita bado atarudi tena kupigwa njaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusema ana njaa sijamaanisha njaa kweli nimetumia kauli ya marehemu ndugu yangu wala sijamdharua tena namuheshimu sana tena sana hii nimeandika kama kusheheresha tuuNadhani anakula kwake na hajawahi kukuomba msaada hata siku moja, watanzania tuheshimu watu, wewe kama unakazi nzuri ni yako na familia yako na usitake watu wote wawe na maisha mazuri kama yako mkuu.
Hicho kibalua chake kinaisha leo hdi mwaka ujao,Kuna watu watasema mbona hujaweka hata picha?
OkeyKusema ana njaa sijamaanisha njaa kweli nimetumia kauli ya marehemu ndugu yangu wala sijamdharua tena namuheshimu sana tena sana hii nimeandika kama kusheheresha tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
ahahahaa umekuja kivingine umri unayoyoma vibaya sanaKama uteuzi ni kutafuta kipato na umaarufu basi Pasco Mayalla hauhitaji huo uteuzi maana vyote hivyo anavipata kwenye maonesho ya sabasaba.
Ukweli jamaa anaupiga mwingi sana kwenye maonesho ya sabasaba. Kila banda unamkuta mwandishi Pasco Mayalla anawaweka wafanyabiashara na wajasiriamali hewani.
Ukiwasha kila chaneli kubwa ya televisheni hapa Tanzania, unamkuta Pasco Mayalla kavimba akifanya matangazo yale ya moja kwa moja na yale ya kurekodiwa.
Nasikia sasa hivi jamaa anaonekana hapa kwenye vyombo vya habari vya nchini Kenya, Uganda na Rwanda.
Kila la kheri mwandishi nguli
Sijawahi kumuona ebu tuwekee video yake ama picha tu tumuone.Kama uteuzi ni kutafuta kipato na umaarufu basi Pasco Mayalla hauhitaji huo uteuzi maana vyote hivyo anavipata kwenye maonesho ya sabasaba.
Ukweli jamaa anaupiga mwingi sana kwenye maonesho ya sabasaba. Kila banda unamkuta mwandishi Pasco Mayalla anawaweka wafanyabiashara na wajasiriamali hewani.
Ukiwasha kila chaneli kubwa ya televisheni hapa Tanzania, unamkuta Pasco Mayalla kavimba akifanya matangazo yale ya moja kwa moja na yale ya kurekodiwa.
Nasikia sasa hivi jamaa anaonekana hapa kwenye vyombo vya habari vya nchini Kenya, Uganda na Rwanda.
Kila la kheri mwandishi nguli
Most of us are so low bro.Hivi kwanini mnamuandama sana huyu mzee hapa JF, ni wapi alishasema anataka teuzi au ni vile tunashindwa kuappreciate quality za watu kama walivyo?