Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,510
- 6,877
Ni kwa sababu Pascal Mayalla ni superstaa! Hivyo ni kawaida kwa mtu maarufu kujadiliwa na kufuatiliwa maisha yake! Mtu kama wewe hakuna atakaye kujadili. Maana hujulikani.Hivi kwanini mnamuandama sana huyu mzee hapa JF, ni wapi alishasema anataka teuzi au ni vile tunashindwa kuappreciate quality za watu kama walivyo?
Ni sawaNi kwa sababu Pascal Mayalla ni superstaa! Hivyo ni kawaida kwa mtu maarufu kujadiliwa na kufuatiliwa maisha yake! Mtu kama wewe hakuna atakaye kujadili. Maana hujulikani.
Na kama angekuwa hafurahishwi na kujadiliwa kwake humu, angeshakuja kutoa malalamiko. Ila kwa bahati mbaya, mtazamo wake uko tofauti kabisa na huu wa kwako. Halafu siyo lazima aje ajitangaze humu kuutaka huo uteuzi! Maana ni watu wachache sana wasiopenda uteuzi.
Mkuu Pascal Mayalla , wewe kula tu hela za matangazo ya Sabasaba. Na mwezi ujao tena kula tena yale ya nane nane! Na ukipata uteuzi wowote ule! Wewe kula tu! Ni wakati wako huu wa kutembea kifua mbele kama kuku aliye nyonyolewa! Hakuna namna!
You are a SuperStar!!
Magu angemuua kwa njaa,mpaka vifaa vyake viliota kutu alibanwa kila konaKama uteuzi ni kutafuta kipato na umaarufu basi Pasco Mayalla hauhitaji huo uteuzi maana vyote hivyo anavipata kwenye maonesho ya sabasaba.
Ukweli jamaa anaupiga mwingi sana kwenye maonesho ya sabasaba. Kila banda unamkuta mwandishi Pasco Mayalla anawaweka wafanyabiashara na wajasiriamali hewani.
Ukiwasha kila chaneli kubwa ya televisheni hapa Tanzania, unamkuta Pasco Mayalla kavimba akifanya matangazo yale ya moja kwa moja na yale ya kurekodiwa.
Nasikia sasa hivi jamaa anaonekana hapa kwenye vyombo vya habari vya nchini Kenya, Uganda na Rwanda.
Kila la kheri mwandishi nguli
Hapana, ni kamba ya manila.Huu nao uzi? Duh!
Mkuu MSAGA SUMU, asante, kwa sasa umri umesonga sana, siwezi kukimbizana na hizi kazi za vijana, hivyo sasa natafuta kazi za watu wazima, nina jambo langu hapa Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha Upinzani Makini? - Prof. Kitila Mkumbo, naomba mniunge mkono!.Kila la kheri mwandishi nguli
Mkuu Msaga Sumu, sio naonekana, bali nawatengenezea kipindi nchi zote za Afrika Mashariki na vipindi hivyo vinarushwa kwenye TV za Taifa za nchi zao.Nasikia sasa hivi jamaa anaonekana hapa kwenye vyombo vya habari vya nchini Kenya, Uganda na Rwanda.
Kila la kheri mwandishi nguli
Mkuu MSAGA SUMU, ni kweliKama uteuzi ni kutafuta kipato na umaarufu basi Pasco Mayalla hauhitaji huo uteuzi
Mkuu Yahana Mbatizaji, johnthebaptist , amen, amen!.Tumuombee mwanaJF Pascal Mayalla apitishwe
Wote tuseme Amen!