Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
mleta mada anazinguaNadhani ndiyo mfumo wake wa maisha tangu aanze kujitegemea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mleta mada anazinguaNadhani ndiyo mfumo wake wa maisha tangu aanze kujitegemea
Familia yake imeridhika
Mkuu sasa kama mzee Hana tena Majukumu yale ya kusomesha na kulea, watoto wake ni watu wazima wana jitegemea na yeye ana vinegar uchumi vyake vinampatia pesa na labda ana lipwa pension ya kustaafu, kama alikua ana toka nyumbani alfajiri kwenda kazini kwa miaka 30 sasa amestaafu lazima apumzike kwa kuchelewa kuamka na kwenda kijiweni.Vizee vinavyopenda kushinda vijiweni kupiga umbea, wengi wao ndio huwa vigagula vya kupaa usiku.
huna adabu kwa wazeeMtu ni Mzee 50+ hana kazi yoyote ila saa mbili asubuhi yupo kijiweni anapiga umbeya kuhusu maisha ya watu.
Basi hata bustani ya kumfanya awe busy hana. Na labda tuseme hata alipambana kumsomesha mwanaye hollaa.. Pesa zote ziliishia kwenye pombe na starehe.
Kama huna Kazi ya kufanya tulia nyumbani.
Naombeni mueleze Wazee kama hawa waache tabia za hovyo
Atakula umbea wakeFamilia haijaridhika, Nyumbani haajacha chochote ila yupo kijiweni anajadili maisha ya wengine.