Nimeamini sio kila Mzee ana busara

Vizee vinavyopenda kushinda vijiweni kupiga umbea, wengi wao ndio huwa vigagula vya kupaa usiku.
Mkuu sasa kama mzee Hana tena Majukumu yale ya kusomesha na kulea, watoto wake ni watu wazima wana jitegemea na yeye ana vinegar uchumi vyake vinampatia pesa na labda ana lipwa pension ya kustaafu, kama alikua ana toka nyumbani alfajiri kwenda kazini kwa miaka 30 sasa amestaafu lazima apumzike kwa kuchelewa kuamka na kwenda kijiweni.
 
huna adabu kwa wazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…