Nimeamini Tanzania yangu kuna watu wana hela

Badilisha vijiwe unavyokaa jitahidi hata upate mchepuko uko exposed Kidogo akuonyeshe maisha yalivyo. Unakuja hapa kushangaa zulia jekundu
 
Badilisha vijiwe unavyokaa jitahidi hata upate mchepuko uko exposed Kidogo akuonyeshe maisha yalivyo. Unakuja hapa kushangaa zulia jekundu
Sio haya mazulia ya red carpet.namanisha zulia laikulu kuna muhuni kaweka ndani kwake nawala hawazi
 
Chalii za arusha kwa kusifia hamjambo🀣🀣🀣
Kunasehem in chuga ..inaitwa cheka ung'atwe hapo mkuu ukifika inatakiwa uso wamee ukicheka tu machalii wana kungata ndosheria yake hiyo
 
Baharia mbona unaaibisha chama unawasifu vip wanaume wenzio
Ukizidiwa kubali2. Yaishe kwenyesifa acha tu nisifie maana hakuna namna...kama uliona ile clip ya mtoto wa simba chawene alicho wafanyia wanaume na mvi zao ..wakafyata mkia na imani wewe huwezi subutu kitendo kile cha kishujaa ni mfano tu najarbu kuelezea. .
 
Mkuu

List yako ni nzuri ila ungetoa namba 4. and namba 8

Hizo 4 na 8 pamechoka sana
 
Karibu kwangu pia uje unipaishe huku na mimi chali wangu
 
Kuna regional manager wa bank flan kule kanda ya ziwa ..sio poa aseee kuna watu wana ishi peponi matajiri wengi uwekeza kwenye estates
 
Umenifuraisha Sana mkuu hii comment watu wanaishi bwana hii dunia
Yaan daaa,mpaka natamani ningekuwa mwanaume labda ningefanya hata Kaz hatarishi nami nijenge
 
Mada imeachwa watu wanaanza battle ya mji upi una matajiri wengi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…