Yote maisha tu, kupanga ni kuchagua😂Naam habarini wakulungwa mabaharia.
Nihivi nilikuwa nasimuliwa kunawatu nchi hii wanaishi kuliko mfalme ..ntataja niliowaona
1: Kuna kipindi nilivyo kuwa chuga nilifanikiwa kwenda kufanya kazi kwa mchaga flani pande za njiro.
Meneja wa precision Air tawi la Tz, asee hiyo nyumba ulinzi uliopo noma, nyumba imetulia imejitenga flani hivi nje kumependeza nilikaa nusu saa lakini niliona. Ni kama nimeongeza miaka 2 ya kuishi, watu wanakula maisha bwana usipime.
Ya 2: Huko chuga niliingia kwenye nyumba ya jamaa mmoja kipindi hiyo chuga ebwanaee yule jomba sjui ni 'freemason' nyumba nzima imewekwa zuli jekundu kama lile la ikulu vyumba vyote kila. kwenyekona kuna flat skrn zile za touch bei yake uspime. Nje kunagari benz×3 imepata pacha hyo ilikuwa mpya lakini kaicha inachakalia hapo kuuliza hana mda wakupeleka gerej.
Nimekaa dakika mbili napiga kazi hata sjamaliza naskiaaa toooka kijana achahyo kaz shika hela yako. Naondoka nawai ndege sahv naelekea mwanza nkirud nitakutafuta ..Nkicheki nshavuta jiwe 5 nikatimka moyoni nasema kuna watu wanahela.
Ya 3: Nikiwa chuga kuna waziri mmoja mstaafu awamu ya Kikwete tulienda kupiga kazi kwake ebwana kunawatu wanahela ndani
Kuna mabwawa manne
yenye aina mbalimbali za samaki, nyumba 3 kali, mandari kali ,yaani haichoshikutazama :sema nlicho mkubali huyu wazir yupo simpo sana baada ya kumaliza kazi day1
Akavuta K Vant kubwa mbili tukawa tunakunywa taratibu stori zake sasa. Anasema kijana zangu mikipindi hicho nipo China ghorofa refu zaidi dunian niko chumba chajuu sjui 800 huko 900 nikama niko nje yadunia nimekaa miezi 6, mara anasema minikiwa nimeboeka nampigia padri nan sjui aniandalie nyumba huko moshi kwenye makaz yao kisha Naenda kutuliza akili huku nakula mvinyo wa Jerusalem.
Anasema sehemu hiyo ndochimbo analolipenda kunafanya akili irelax.baada ya K Vant kuisha stor nazo zikaishia hapo na waziri flani.
Niliingia nimepauka nikatoka na meremeta.
Unaweza na wewe kuongezea uliwahi kutana na mtu mwenye pesa hadi uka shangaa.
Thank you.
Mzee huyo havutagi ye.ni vant na mvinyo wa Jerusalem 2Wakati mnakula Kvant kubwa mbili hamkuchoma na majani kidogo?
Tatzo tunachagua.vinono mwisho wasiku tunaambulia vikaukauYote maisha tu, kupanga ni kuchagua😂
Ukizidiwa kubali2. Yaishe kwenyesifa acha tu nisifie maana hakuna namna...kama uliona ile clip ya mtoto wa simba chawene alicho wafanyia wanaume na mvi zao ..wakafyata mkia na imani wewe huwezi subutu kitendo kile cha kishujaa ni mfano tu najarbu kuelezea. .
Chai ya rangiHiyo nyumba tumeingia mchana nimechoka kukaa ndani nataka nikatembee huko nnje, natoka getini mlinzi ananikataza kutoka nnje kwa miguu ananiambia hapa ukitaka kutoka nnje omba GARI kwa mama utoke,huu mtaa haruhusiwi mtembea kwa miguuu.
Basi hata nikienda dukani ni gari inawashwa Shwaaaaaaa,
Nikisahau vocha nataka kurudi dukani nawasha gari shwaaaaa naenda dukani..
Hapo ndani kuja gari za wageni,gari za maza house, gari za watoto wa mwenye nyumba, Gari za safari.. yani ni ka show room kamoja kamejitenga pale ndani.. Maisha haya nyiee
Mkuu hio ni movie gani [emoji23]Hiyo nyumba tumeingia mchana nimechoka kukaa ndani nataka nikatembee huko nnje, natoka getini mlinzi ananikataza kutoka nnje kwa miguu ananiambia hapa ukitaka kutoka nnje omba GARI kwa mama utoke,huu mtaa haruhusiwi mtembea kwa miguuu.
Basi hata nikienda dukani ni gari inawashwa Shwaaaaaaa,
Nikisahau vocha nataka kurudi dukani nawasha gari shwaaaaa naenda dukani..
Hapo ndani kuja gari za wageni,gari za maza house, gari za watoto wa mwenye nyumba, Gari za safari.. yani ni ka show room kamoja kamejitenga pale ndani.. Maisha haya nyiee
Maisha ukiwa hujawahi yaishi ukisimuliwa unaweza hisi ni Uji kabisa sio chaiChai ya rangi
Mkuu kuna maisha unaweza hisi ni movie ukisimuliwa lakini nakuhakikishia,watu wanayaishi hayo maisha na ni hapa hapa TANZANIA (sio kenya) ila TANZANIAMkuu hio ni movie gani [emoji23]
Alkasusu.Maisha ukiwa hujawahi yaishi ukisimuliwa unaweza hisi ni Uji kabisa sio chai
KabisaHabari za tajiri muulize maskini.
Panga siku uje utembee kwenye ngome Yangu ao wote ulowataja ni Wa kawaidaNaam habarini wakulungwa mabaharia.
Nihivi nilikuwa nasimuliwa kunawatu nchi hii wanaishi kuliko mfalme ..ntataja niliowaona
1: Kuna kipindi nilivyo kuwa chuga nilifanikiwa kwenda kufanya kazi kwa mchaga flani pande za njiro.
Meneja wa precision Air tawi la Tz, asee hiyo nyumba ulinzi uliopo noma, nyumba imetulia imejitenga flani hivi nje kumependeza nilikaa nusu saa lakini niliona. Ni kama nimeongeza miaka 2 ya kuishi, watu wanakula maisha bwana usipime.
Ya 2: Huko chuga niliingia kwenye nyumba ya jamaa mmoja kipindi hiyo chuga ebwanaee yule jomba sjui ni 'freemason' nyumba nzima imewekwa zuli jekundu kama lile la ikulu vyumba vyote kila. kwenyekona kuna flat skrn zile za touch bei yake uspime. Nje kunagari benz×3 imepata pacha hyo ilikuwa mpya lakini kaicha inachakalia hapo kuuliza hana mda wakupeleka gerej.
Nimekaa dakika mbili napiga kazi hata sjamaliza naskiaaa toooka kijana achahyo kaz shika hela yako. Naondoka nawai ndege sahv naelekea mwanza nkirud nitakutafuta ..Nkicheki nshavuta jiwe 5 nikatimka moyoni nasema kuna watu wanahela.
Ya 3: Nikiwa chuga kuna waziri mmoja mstaafu awamu ya Kikwete tulienda kupiga kazi kwake ebwana kunawatu wanahela ndani
Kuna mabwawa manne
yenye aina mbalimbali za samaki, nyumba 3 kali, mandari kali ,yaani haichoshikutazama :sema nlicho mkubali huyu wazir yupo simpo sana baada ya kumaliza kazi day1
Akavuta K Vant kubwa mbili tukawa tunakunywa taratibu stori zake sasa. Anasema kijana zangu mikipindi hicho nipo China ghorofa refu zaidi dunian niko chumba chajuu sjui 800 huko 900 nikama niko nje yadunia nimekaa miezi 6, mara anasema minikiwa nimeboeka nampigia padri nan sjui aniandalie nyumba huko moshi kwenye makaz yao kisha Naenda kutuliza akili huku nakula mvinyo wa Jerusalem.
Anasema sehemu hiyo ndochimbo analolipenda kunafanya akili irelax.baada ya K Vant kuisha stor nazo zikaishia hapo na waziri flani.
Niliingia nimepauka nikatoka na meremeta.
Unaweza na wewe kuongezea uliwahi kutana na mtu mwenye pesa hadi uka shangaa.
Thank you.
Walai nimechekaa sana wee jamaa🤣🤣🤣Naam habarini wakulungwa mabaharia.

ulikutan naye wapi huyu Mmarekani.?Huyo mwenye pesa kupindukia uliekutana nae yupo hata kwenye watu 50 wenye pesa hapo bongo??? au watu 100 wenye pesa East Africa?? Au unazungumzia watu wenye pesa kupindukia za mawe Mererani.???Nimeshawahi kunywa baa moja na kuongea kidogo na mmoja wa watu 50 wenye pesa duniani na alikua wa kawaida sana na very humble person na sikuweza kumtambua kama ndio tajiri mwenyewe hadi nilipotambulishwa maana jamaa alikua wa kawaida sana . Google Richard Branson utaona anamiliki nini na nini na ana pesa ngapi.
Sio mmarekani huyo ni muingereza anaeishi kwenye kisiwa chake kiko huko Carribean, nilikutana nae downtown New York kwenye kiwanja kimoja hivi cha kawaida sana kwa mtu kama yeye kumkuta hapo. Na alikua amevaa casual sio rahisi kumtambua kua ni billionaire.ulikutan naye wapi huyu Mmarekani.?