Wapi imeandikwa waume za watu hawaruhusiwi kutongoza???Sijakataa kutongozwa ila tatizo mume wa mtu kwanini utongoze wakati mke unaye hakafu unamtongoza mtu wa karibu na kwako huogopiii?
[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wew ndio bado mdogo kwenye hayo maswala,,ni ivi io n kawaida sana na asilimia kubwa (sio zote) nyumba yenye furaha mme anachepuka uko nje ila heshima na nafasi ya mke wake inabaki pale pale,pia michepuko husaidia kupunguza baadhi ya makwazo ya wake zao.(inauma lakini)
Nawew unashangaa vile ilo zari limekuangukia wew,,ila in short n kawaida mdada.nukta
Siyo wote, halafu ni maneno gani hayo unayoshindwa kuandika nahuku hapa tunatumia fake ID? We Sema alichokwambia huyo Mzee.Habari!
Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100%
Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda kwa jirani mwenye nyumba inayofuata baada ya kwetu.
Tumeshakua ni washkaji japo yeye ni mtu mzima kiasi, ana mume na watoto watano. Ila mimi na yeye tunaongea lugha moja. Mshkaji wangu namwita Mama Cathe. Anapendana sana na mume wake familia yao ni bora yenye upendo, kuwaona wamekumbatiana na mume wake ni jambo la kawaida sana.
Nipo karibu nae nimejua baadhi ya mambo, mume wake huwa anarudi kila siku mchana kula, mama Cathe huwa anamsubiri mchana ili wale wote saa 9.
Kwa jinsi wanavyopendana usiku wanaweka msosi nje wanakula mume, mke na watoto kulishana ni jambo la kawaida. Siku zote ninavyowachora mume anampenda sana mkewe, nilikua naona hawezi hata kumsaliti, hata michepuko haijui. Nilikua naamini kuna wanaume ni waaminifu na huyu Baba Cathe nilimuweka kundi hilo kwa jinsi wanavyoishi.
Juzi asubuhi mama kanituma nikanunue mahitaji, natembea zangu kwenye uchochoro mpana nikasikia mtu ameniita 'Ephen!' nikageuka nyuma. Nakutana na Baba Cathe akaniambia 'Nilikuona wakati unatoka nikasema nikufate sababu kila siku navizia nafasi ya kuongea na wewe lakini siipati, kwani unaenda wapi?'
Mpaka hapo nikawa nimeshangaa sikutegemea hii kauli kutoka kwake, hapo anaongea kimahaba
Huyu mzee nilikua namuheshimu sana....Nikamwambia naelekea dukani.
Akasema 'basi naomba namba yako siku yoyote naweza kukupigia tukutane sehemu X, huwa unanivutia sana nahitaji tuongee zaidi' nikamjibu sina simu
Alarm ikalia kichwani kwangu kua ule uchochoro yeyote anaweza kutokea ikawa kesi, sikumjibu nikageuka nikaendelea na safari yangu. Mimi nipo mbele yeye nyuma hapo natembea chap niumalize uchochoro akawa anaongea maneno ambayo siwezi kuyaandika hapa.
Nikamaliza uchochoro na yeye nahisi huku nyuma aligeuza, muda wote nikawa najiuliza huyu mzee kapatwa na nini?
Kilichonishtua ni jana nimekaa kibarazani na mkewe mida ya mchana, karudi mke wake akasimama kumkumbatia, huyu mzee akanikonyeza. Namuona anakuja kwa kasi!
Wanaume wote kumbe wanacheat.....!
Ukweli tulisema ni wap , umejisahaulisha sio😁😁😁Hadi na wewe unasema hivi! Wanaume wote hamuaminiki wasaliti wakubwa
MhmmmmmJambo kama hili unatakiwa uongee moyo wako!
umefufua uzi wa mwaka gan huu😂[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Odo mambo 😎umefufua uzi wa mwaka gan huu😂
Nahitaji salamu yangu kubwaOdo mambo 😎
Shikamoo odoNahitaji salamu yangu kubwa
Marhabaa kijana mdogo hujamboShikamoo odo
Sawa. Afu inaonekana nyuzi zako zinapata wateja wengi mno, pages 50+ duUsiwe king'ang'a! Hayo maneno sijayaandika lakini story umeelewa
Mpe bhana baba wa watu. Sio makosa yeye, tunatafuta dawa ya kidonda ambacho Mola alikiweka mbele ya shina la nyume zetu. Narudia tena, mpe utakuja kunishukuru. Ila fanyeni siri tu maake hata huyo atakayekuja kukuoa atakuwa ni wale waleHabari!
Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100%
Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda kwa jirani mwenye nyumba inayofuata baada ya kwetu.
Tumeshakua ni washkaji japo yeye ni mtu mzima kiasi, ana mume na watoto watano. Ila mimi na yeye tunaongea lugha moja. Mshkaji wangu namwita Mama Cathe. Anapendana sana na mume wake familia yao ni bora yenye upendo, kuwaona wamekumbatiana na mume wake ni jambo la kawaida sana.
Nipo karibu nae nimejua baadhi ya mambo, mume wake huwa anarudi kila siku mchana kula, mama Cathe huwa anamsubiri mchana ili wale wote saa 9.
Kwa jinsi wanavyopendana usiku wanaweka msosi nje wanakula mume, mke na watoto kulishana ni jambo la kawaida. Siku zote ninavyowachora mume anampenda sana mkewe, nilikua naona hawezi hata kumsaliti, hata michepuko haijui. Nilikua naamini kuna wanaume ni waaminifu na huyu Baba Cathe nilimuweka kundi hilo kwa jinsi wanavyoishi.
Juzi asubuhi mama kanituma nikanunue mahitaji, natembea zangu kwenye uchochoro mpana nikasikia mtu ameniita 'Ephen!' nikageuka nyuma. Nakutana na Baba Cathe akaniambia 'Nilikuona wakati unatoka nikasema nikufate sababu kila siku navizia nafasi ya kuongea na wewe lakini siipati, kwani unaenda wapi?'
Mpaka hapo nikawa nimeshangaa sikutegemea hii kauli kutoka kwake, hapo anaongea kimahaba
Huyu mzee nilikua namuheshimu sana....Nikamwambia naelekea dukani.
Akasema 'basi naomba namba yako siku yoyote naweza kukupigia tukutane sehemu X, huwa unanivutia sana nahitaji tuongee zaidi' nikamjibu sina simu
Alarm ikalia kichwani kwangu kua ule uchochoro yeyote anaweza kutokea ikawa kesi, sikumjibu nikageuka nikaendelea na safari yangu. Mimi nipo mbele yeye nyuma hapo natembea chap niumalize uchochoro akawa anaongea maneno ambayo siwezi kuyaandika hapa.
Nikamaliza uchochoro na yeye nahisi huku nyuma aligeuza, muda wote nikawa najiuliza huyu mzee kapatwa na nini?
Kilichonishtua ni jana nimekaa kibarazani na mkewe mida ya mchana, karudi mke wake akasimama kumkumbatia, huyu mzee akanikonyeza. Namuona anakuja kwa kasi!
Wanaume wote kumbe wanacheat.....!
Usinifundishe tabia mbaya!!Mpe bhana baba wa watu. Sio makosa yeye, tunatafuta dawa ya kidonda ambacho Mola alikiweka mbele ya shina la nyume zetu. Narudia tena, mpe utakuja kunishukuru. Ila fanyeni siri tu maake hata huyo atakayekuja kukuoa atakuwa ni wale wale
Sie wanaume ni mbwa