Nimeamini wanaume hawaaminiki

Yule mhuni natafuta mwenyewe najua katika miaka miwili ijayo nitakuwa nimeshakamilisha, nikishindwa hapo basi naachana kabisa na suala la kuoa.
Muda wa kuoa ulikua unaruka majoka
Now umezeeka atakukubali nani? Labda kama una mpunga wa maana😂
 
Teheeeeee alijua ni Ile ya some girls are faster than others kumbe sio ongera Kwa msimamo mwambie you are off limits
 
hatuaminiki, hatutakuja kuaminikia na hamtakiwi kutuamini milele, labda kama tumeokoka na uhakikishe kweli tumeokoka.
 
Hii ni kawaida na ndio asili, sio kwamba baba cate hampendi mkewe no,kuna mda kichwa cha chini kinafanya maamuzi yake binafsi bila kushirikisha cha juu.
Ndio maana kuzaliwa mara ya pili hakukwepeki ikiwa mtu anataka kuuona ufalme wa Mungu. Lazima tutoke kwenye asili zetu.

YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Thread ya superstar nitakuja kuisoma baadae...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…