Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Kweli lakini mbona biashara walipigwa mechi mbili lakini kocha na wachezaji walikua kwa list..?Timu imepigwa mechi mbili mfululizo katika mwezi itatoaje muwania tuzo?
Mkuu wewe hujui mpira.Kweli lakini mbona biashara walipigwa mechi mbili lakini kocha na wachezaji walikua kwa list..?
...Kabla ya kuandika/kuanzisha uzi kwa mhemko, ni vyema ungejua utaratibu unaotumika kupata kocha bora na mchezaji bora kwa kila mwezi.Leo zime tolewa tuzo za mwezi September.. kama kawaida yao kocha Bora Cedric kaze katoka Yanga.. mchezaji bora Serge Mukoko22 katoka yanga.. duh hapa najiuliza yaani biriani lote simba tunalo cheza tikitaka, pasi kisigino hakuna hata mchezaji wala kocha alie kuwepo hata kwenye list ya wanao wania tuzo..
T..F..F haioni hujuma tunazo fanyiwa.. ki ukweli tunashushana maendeleo
#simba_nguvu_moja
Nb.Huyu mukoko atamaliza tuzo.. jamani kama vepe apigwe msumari kama wa fraga
Sijui kivipi? nipe sababu..Mkuu wewe hujui mpira.
Shukrani kwa Azam TV na betting zimekusogeza karibu.
Utaratibu gani wakati Tanzania nzima inajua Simba SC ni Team kubwa Africa.. hatuwezi kubali kuchafuliwa .. sisi level zetu ni Zamalek,Pyramid sio azam na utopolo...Kabla ya kuandika/kuanzisha uzi kwa mhemko, ni vyema ungejua utaratibu unaotumika kupata kocha bora na mchezaji bora kwa kila mwezi.
viongozi wanapewa Milioni 10 tu wasajili kiungo mkabaji wanaleta kina ndemla (kisa ni ndugu wa matola),mkude amechoka, wanatusajilia wachezaji walio jichokea hukoo..mfano unyango sijui walitoa laki ngapiMikia hamna kitu pale ndugu yangu.
Hamna pira biriani niliona pira bamia.
Tangu awali nilijua wewe siyo shabiki wa Simba.viongozi wanapewa Milioni 10 tu wasajili kiungo mkabaji wanaleta kina ndemla (kisa ni ndugu wa matola),mkude amechoka, wanatusajilia wachezaji walio jichokea hukoo..mfano unyango sijui walitoa laki ngapi
Biashara alipoteza mechi moja tu kwa coastal nyingine zote alishinda.Kweli lakini mbona biashara walipigwa mechi mbili lakini kocha na wachezaji walikua kwa list..?
We hujui mpira unasema onyango waulize shughuli yake utopoloviongozi wanapewa Milioni 10 tu wasajili kiungo mkabaji wanaleta kina ndemla (kisa ni ndugu wa matola),mkude amechoka, wanatusajilia wachezaji walio jichokea hukoo..mfano unyango sijui walitoa laki ngapi
Kwahiyo unaweza kuhonga million 2 upate laki tano?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mara oooh yanga masikini hawana pesa, sasa za kuhonga wametoa wapi?
Na bado.
Leo zime tolewa tuzo za mwezi September.. kama kawaida yao kocha Bora Cedric kaze katoka Yanga.. mchezaji bora Serge Mukoko22 katoka yanga.. duh hapa najiuliza yaani biriani lote simba tunalo cheza tikitaka, pasi kisigino hakuna hata mchezaji wala kocha alie kuwepo hata kwenye list ya wanao wania tuzo..
T..F..F haioni hujuma tunazo fanyiwa.. ki ukweli tunashushana maendeleo
#simba_nguvu_moja
Nb.Huyu mukoko atamaliza tuzo.. jamani kama vepe apigwe msumari kama wa fraga
Kwa mpira gani wanao cheza utopolo kutushindanimeshangaa pia