Am For Real
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 323
- 770
Sio kawaida hii. Nimeskia vishindo vya kutisha juu ya ardhi nilipokuwa naenda kujisaidia haja ndogo. Kiasi Kwamba nimeogopa hata kutizama dirisha la chooni nisije nikaona mambo ya ajabu. Nimejisaidia haraka sana na baada ya kumaliza nimekimbia Hadi kwenye kitanda changu na kujifunika blanketi huku mapigo ya moyo yakienda kasi sana.
Tumbo nalo lilinibana sana mpaka nimepata maumivu sababu ya uoga niliokuwa nao. Kipindi nimejifunika blanketi hadi kichwani naskia mtu akikimbia na kuzunga nyumba yetu na ardhi ilikuwa inatetemeka "ndu ndu ndu ndu ndu".
Pia soma: Vimbwanga vya nyumba za kupanga, wapangaji na wenye nyumba
Nilitamani kuwaamsha ndugu zangu ambao walikuwa kwenye usingizi wa fofofo na hawakujua chochote kinachoendelea. Kwenye hii nyumba yetu tumeshazoea Kila saa 5:30 usiku umeme lazima uzime BIla sababu ya msingi huku nyumba za Jirani zikiendelea kuwaka.
Hali inatisha sana.
“Ndu ndu ndu ndu” sauti ya kishindo cha ardhi kwa huyo mtuanayekimbia huku akizunguka nyumba yetu.
Hii nyumba ya Mama nimeishindwa Bora niondoke Nakosa amani kabisa.