Umechukua uamuzi mzuri sana mkuu. Kuajiriwa ni UTUMWA!kushirikishana sio vibaya, toka nimeajiliwa huu mwaka wa nane sasa, sijawahi pandishwa dalaja.nina mradi wa kuku na biashara nyingine ndogondogo tatu, nikijumlisha mapato yake ni mara mbili ya mshahara ninaopata, pia kazini nabanwa sana mda naona nikiacha kazi nitaboresha biashara zagu na kupanua zaidi, ngoja nisubiri mwezi wa saba asipoongeza tu naiaga ajira sioni faida kabisa
nikijumlisha mapato yake ni mara mbili ya mshahara ninaopata.Ngoja nisubiri mwezi wa saba asipoongeza tu naiaga ajira sioni faida kabisa
Hadi uache ndo niaminikushirikishana sio vibaya, toka nimeajiliwa huu mwaka wa nane sasa, sijawahi pandishwa dalaja.nina mradi wa kuku na biashara nyingine ndogondogo tatu, nikijumlisha mapato yake ni mara mbili ya mshahara ninaopata, pia kazini nabanwa sana mda naona nikiacha kazi nitaboresha biashara zagu na kupanua zaidi, ngoja nisubiri mwezi wa saba asipoongeza tu naiaga ajira sioni faida kabisa
Kumbe hajaacha bado me nmemsifia hapoHadi uache ndo niamini
Hahah [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Hehe heading kaacha ila content anategemea kuacha...inshort anamtishia mzee wa chatoKumbe hajaacha bado me nmemsifia hapo
huu ushauri unaukweli kiasi flani hivi, ngoja niufanyie kazi mwezi huu mmoja nikisubiri nyongeza