osama BLD
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 561
- 295
Acha kabisa ajira ni utumwaOfisi gani hiyo ya serikali unayo banwa? Unless Kama haupo vizuri na boss wako. Kutoka saa 9:30 na kuna uhuru mwingi tu serikalini labda Kama wewe hujui namna ya kuishi na wenzio
Kumbuka kuwa jambo la msingi sio kuto ajiriwa bali ni kuwa na vyanzo vingi vya mapato na ajira ni moja ya chanzo cha mapato. Kwahiyo as long as biashara zako zimeanda vizuri mpaka sasa huku ukiwa kwenye ajira sioni sababu ya wewe kuacha kazi. Ukipata watu waaminifu kwenye biashara zako hamna haja ya kuacha kazi