Nimeamua kuacha kazi, nafanya biashara

Nimeamua kuacha kazi, nafanya biashara

Ofisi gani hiyo ya serikali unayo banwa? Unless Kama haupo vizuri na boss wako. Kutoka saa 9:30 na kuna uhuru mwingi tu serikalini labda Kama wewe hujui namna ya kuishi na wenzio

Kumbuka kuwa jambo la msingi sio kuto ajiriwa bali ni kuwa na vyanzo vingi vya mapato na ajira ni moja ya chanzo cha mapato. Kwahiyo as long as biashara zako zimeanda vizuri mpaka sasa huku ukiwa kwenye ajira sioni sababu ya wewe kuacha kazi. Ukipata watu waaminifu kwenye biashara zako hamna haja ya kuacha kazi
Acha kabisa ajira ni utumwa
 
kuna ka diwan kamoja hapa shida sana, mi ni field offocer ,kajamaa kananionea wivu sana,
 
Hakuna utumwa kama
Kuajiriwa aiseee

Angalia biashara zako
Mkuu skuzote mshahara
Hautosh kitu
 
Ofisi gani hiyo ya serikali unayo banwa? Unless Kama haupo vizuri na boss wako. Kutoka saa 9:30 na kuna uhuru mwingi tu serikalini labda Kama wewe hujui namna ya kuishi na wenzio

Kumbuka kuwa jambo la msingi sio kuto ajiriwa bali ni kuwa na vyanzo vingi vya mapato na ajira ni moja ya chanzo cha mapato. Kwahiyo as long as biashara zako zimeanda vizuri mpaka sasa huku ukiwa kwenye ajira sioni sababu ya wewe kuacha kazi. Ukipata watu waaminifu kwenye biashara zako hamna haja ya kuacha kazi
We unafanya kazi ya ualimu ndio mwisho muda huo wa tisa na nusu. Wenzio wanafanya kazi hadi usiku na week end wanaenda job kama kawa. Sio kila sekta katika serikali kuna muda wa kuchezacheza mkuu
 
Nakushauri ndugu,endelea kufanya biashara zako as the same time fanya kazi...itakusaidia sana baadaye,kwanza baadaye wafanyakazi mtakuja pata neema chini ya huu utawala(mark my words) then biashara itakusaidia kwa mapato ya nje bila kutegemea viposho na semina ambazo zinaongeza magomvi maofisini.
Jitahidi ukae hata miaka 15,then ndo ujitafakari upya. Ahsante
 
umesema vyema mkuu,ila leo nina 30samething nikiingeza 15yrs nitakuwa 50yrs halafu ndo nijitathimin, mbona nitakuwa nishachelewa?labda only 5yrs hapa umri utaruhusu kufanya mambo
 
We unafanya kazi ya ualimu ndio mwisho muda huo wa tisa na nusu. Wenzio wanafanya kazi hadi usiku na week end wanaenda job kama kawa. Sio kila sekta katika serikali kuna muda wa kuchezacheza mkuu
Mfano ?
 
Usiache kazi piga hivohivo kibishi.. serikalini mbona mteremko tuu chengachenga zinaruhusiwa.
Hata ukiendesha baiskeli kuna muda unabadili speed.

Miaka 8 bila ongezeko lolote la daraja ni bora kuacha tu na kuendelea na shughuli nyingine..
 
Ndugu ushauri kwa jambo kama hili sio bora kwa sasa,muhimacha kazi pambana mwaka mmoja ktk biashara kwa jasho la damu na ubahili uliopindukia then utakua umepata uzoefu mkubwa sana baada ya mwaka kuisha mwaka wa pili unafanya kwa kupunguza ubahil kdgo,,miaka 5 unawaona wafanyakaz wote manyang'au tu
 
Good idea fanyia kazi,ajira ni sehemu ya kutafutia mtaji kama kazi inakupa kipato cha kutunza ili kupata capital.
 
Kushirikishana sio vibaya, toka nimeajiliwa huu mwaka wa nane sasa, sijawahi pandishwa dalaja. Nina mradi wa kuku na biashara nyingine ndogondogo tatu, nikijumlisha mapato yake ni mara mbili ya mshahara ninaopata, pia kazini nabanwa sana mda naona nikiacha kazi nitaboresha biashara zagu na kupanua zaidi, ngoja nisubiri mwezi wa saba asipoongeza tu naiaga ajira sioni faida kabisa.
Mkuu ulifanikiwa kuacha kazi?
 
Kumbe bado haujaacha kazi ndo unampango! Ukishakuwa mtumwa wa mshahara ni kazi sana kuukimbia

NB.jipange sana kuacha kazi, jipange sana nasema
 
Kuna dada mmoja mhitimu wa chuo kikuu aluamua kujiajiri kwa kuuza uji na akaona inalipa. Mtafute akupe shule
 
Kushirikishana sio vibaya, toka nimeajiliwa huu mwaka wa nane sasa, sijawahi pandishwa dalaja. Nina mradi wa kuku na biashara nyingine ndogondogo tatu, nikijumlisha mapato yake ni mara mbili ya mshahara ninaopata, pia kazini nabanwa sana mda naona nikiacha kazi nitaboresha biashara zagu na kupanua zaidi, ngoja nisubiri mwezi wa saba asipoongeza tu naiaga ajira sioni faida kabisa.
Hapo kwenye avatar ni wewe kweli?Ikiwa ni kweli basi kweli hali ni ngumu na mimi ninakuunga mkono!
 
Back
Top Bottom