Nimeamua kuacha kazi, nafanya biashara

huu ushauri unaukweli kiasi flani hivi, ngoja niufanyie kazi mwezi huu mmoja nikisubiri nyongeza
Huna msimamo. Mwanaume akiamua harudi nyuma. Unasonga mbele kwa mwendo wa farasi au kinyonga.
 
Kazi usiache moja kwa moja, kwanza chukua mkopo nmb, au bank yoyote wekeza ktk biashara zako kisha chukua likizo isiyo na malipo ya miaka mitatu ili uangalie biashara zinaenda vp maana some time mambo yanaweza kugoma! Ukiona biashara haziendi unaweza kurudi kazini muda wowote! Sio lazima miaka mitatu ikatike.
 
Hivi likizo bila malipo ipo kweli awamu hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…