"nimeamua kuacha kujichubua"...mainda

"nimeamua kuacha kujichubua"...mainda

Sasa ukiacha kuupaka ray atautoa wapi manake naona mlikuwa mnapaka wote
 
Nmecheka kwel.kumbe wanatumia wote na ray?itabid ray aamie kwa madam wema!
 
STAA mwenye umbo la kipekee katika soko la filamu Bong o, Ruth Suka ‘Mainda’ amefunguka kuwa ameamua kuukacha mkorogo aliokuwa akiutumia kwa muda mrefu.

Akipiga stori na paparazi wetu, Mainda alisema ameamua kuacha kutumia mkorogo kutokana na matakwa ya dini yake, amegundua anamkosea Mungu wake kwa kujichubua
.

“Nimeamua tu kuacha kujichubua, mkorogo siyo kitu kizuri hata Mungu hapendi vitu hivi ndiyo maana nikaamua kuuacha japo nimetumia kwa muda mrefu,” alisema Mainda ambaye kabla ya kuokoka alikuwa Muislamu.

huo upekee umekujaje hapo? after scratching the skin by cosmetics, ama?
 
Back
Top Bottom