Hebu fikiria unaenda zako Gym kwa ajili ya mazoezi ya Aerobics, halafu unakutana na mabinti kama Paloma, Smile, lara 1, Zion Daughter, Remmy, FirstLady, Mrembo by Nature, Chauro, Nivea, Lisa, Madame B, madam Z, charminglady, Nicole, Jeska, Lusile, vivian wote wamevaa skin jinzi, lazima utapata kiroho papo.....
Hawa wadada ninaofanya nao mazoezi ya AEROBICS wananitega na makalio yao ndani ya skin jinzi, nimeamua kuacha mazoezi kuanzia leo maana wananitia vishawishi.
Ngoja nitafute njia mbadala ya kupunguza uzito, hii ya Gym itanitia dhambini.
Najua hapa snowhite, gfsonwin, mwaJ, Asnam na King'asti watanizushia jambo.....

Mh... hata mimi ningeshindwa kuendelea kufanya mazoezi, lakini wakumbuka kuna ule utafiti wa kutoka nje ya ndoa (Mpango kando) kuwa ni njia nzuri ya kupunguza uzito... hebu waonaje CC wakajaribu wewe ukiwa kiongozi!?
Nyie wenyewe mnajuwaga inaitwaje, mie najua skin jinzi
Una maanisha huu hapa:
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/412399-imethibitika-kutoka-nje-ya-ndoa-husaidia-kupunguza-uzito-wa-mwili-kuliko-kujinyima%85.html
Hebu ngoja niujaribu, huenda ukasaidia kupunguza uzito...
Hebu fikiria unaenda zako Gym kwa ajili ya mazoezi ya Aerobics, halafu unakutana na mabinti kama Paloma, Smile, lara 1, Zion Daughter, Remmy, FirstLady, Mrembo by Nature, Chauro, Nivea, Lisa, Madame B, madam Z, charminglady, Nicole, Jeska, Lusile, vivian wote wamevaa skin jinzi, lazima utapata kiroho papo.....
Mind your own business Mzee Mtambuzi lol!!!!!!!!!!!!!!Hebu fikiria unaenda zako Gym kwa ajili ya mazoezi ya Aerobics, halafu unakutana na mabinti kama Paloma, Smile, lara 1, Zion Daughter, Remmy, FirstLady, Mrembo by Nature, Chauro, Nivea, Lisa, Madame B, madam Z, charminglady, Nicole, Jeska, Lusile, vivian wote wamevaa skin jinzi, lazima utapata kiroho papo.....
Hawa wadada ninaofanya nao mazoezi ya AEROBICS wananitega na makalio yao ndani ya skin jinzi, nimeamua kuacha mazoezi kuanzia leo maana wananitia vishawishi.
Ngoja nitafute njia mbadala ya kupunguza uzito, hii ya Gym itanitia dhambini.
Najua hapa snowhite, gfsonwin, mwaJ, Asnam na King'asti watanizushia jambo.....
sasa hivi naendesha mazoezi kama haya, waweza kuja huku:
View attachment 85720