Nimeamua kuacha mazoezi ya GYM...!

Lakini Mtambuzi, huoni kwamba kubaki na hii picha ni sawa na kuendelea kuwa na hawa masister do, huko gym?
 
muelezeeee. na hatuvai kofuli kabisaaa, ataisoma!
gym ya nini mshua; si umsaidie maza kuchota maji?

King'asti nakusalimu. Niko BOMAS of KENYA NAIROBI kuhakikisha Odinga anashinda, nitakuja TZ weekend hii.
 
Last edited by a moderator:
muelezeeee. na hatuvai kofuli kabisaaa, ataisoma!
gym ya nini mshua; si umsaidie maza kuchota maji?

We mwana we ni faza ako huyo afu unamtajia kofuli..!?? ndo u dijitali au.. afu this wikend nataka nikupeleke Mbudya island.. , afu mumeo keshampiga pingu Baba V tayari
 
Last edited by a moderator:

Heshima mkuu....watatu kuelekea kushoto mstari wa mbele..ambaye anaangalia huku....anaelekea ameyazoea hayo mazoezi...nimeangalia woote hamna aliyeliweza hilo zoezi kama yeye..tena kwa kujiamini....alafu hapo pako kama south beach kigamboni.....hiyo Gym sio ya kuacha kabisa.
 

Hata mie nimekoma kuwafanyisha mazoezi kina Paloma, amu, charminglady Madame B, gfsonwin, Asnam, Remmy, Smile snowhite et el. Watu wenyewe wagumu kweli kuelewa.

Mzee mwenzangu, mtafute KakaKiiza tuanzishe gym yetu bana.

 
Last edited by a moderator:
mara mia umekoma ingawa nina wasiwasi kama umeacha jumla au umepumzika kwa muda,afu mtu mzima kama ww unakubali kujishushia hadhi hapa jamvini yaani hao wote umewatumia maombi wamechomoa basi una mkosi kaoge mtoni.
Potelea mbali, hata wakinichomolea mi nafaudu kupiga chabo naona unataabiiiika na upweke.

.
 
Potelea mbali, hata wakinichomolea mi nafaudu kupiga chabo.


unazidi kuathirika kisaikolojia wakati vidosho kitaani wamejaa hadi wanamwagikia,kuna brand new products kutoka Necta tuma application uwowe jumljumla.
 
unazidi kuathirika kisaikolojia wakati vidosho kitaani wamejaa hadi wanamwagikia,kuna brand new products kutoka Necta tuma application uwowe jumljumla.
Hehehehehe afu wewe........? Hiyo picha umeitoa wapi? Ukikua najua utaacha

 
Safi sana, ila angalia usije ukaghafilika. Manake nyie vibinti vya dot com hamchelewagi


hata niwe na matatizo gunia zima sijawahi fikiria huu upuuzi,hebu nenda mmu unipe maushauri ujue nina msongo wa mawazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…