Nimeamua kuacha mazoezi ya GYM...!

Nije jukwaa la wakubwa au? Manake weweeee... akili yako unaijua mwenyewe


Jukwaa lile siku hizi nimetoka..........
Nataka nianze Gym, ila kama mambo yenyewe ndo hivi..............mh!!! hunipati
 
Last edited by a moderator:
Mh!
We nawe macho yako yatakuwa na matatizo.

Ndo mana huwa mie siendi gym zenye mixer; i mean me na ke maana najua huko ni utata mtupu, na haya mavazi yetu, ndo balaa.

Asante kwa kuona ukweli na kuukubali.


Sent from my GT-S6802 using Tapatalk 2
 
mbona naona kama hawa ni wazee? hawawezi kumfikia Madam B kwa uzuri
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…