Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
NAJIVUNIA KUTAMBUA WANASIASA ZAMANI SANA NA KUJITENGA NAO...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] MWENZIO MIMI NAANGALIA MAENDELEO SINA CHAMA SABABU SINA MANUFAA NA CHAMA NINA MANUFAA NA MAENDELEO YATAKAYOFANYIKA... HIVYO POROJO ZAO WANASIASA NAWAACHIAGA WENYEWE... MIMI NAPIGIAGA KURA MAENDELEO SIO CHAMA... ndio umeona sasa mr Liverpool mwenzangu. Poleeee sanaBaada ya kukosa nafasi ya kupiga kura 28/10/2020 niliumia sanaa kutomchagua mpinzani Mhe. Tundu Lissu.
Ila kwa yaliyotokea leo nadhani hata ule uchunguu umeisha woteee.
1. Viti maaalumu wamepewa.
2. Tundu yupo ubelgiji anakula soseji.
3. Maalimu Seif soon atakubali kuwa makamu wa raisi.
Kwahili naomba nijivue.
Yaliyotokea kwa Lowasa nilijipa moyo na kumuona msaliti nikaendelea kukomaa na CHADEMA.
Nilihatarisha utumishi wangu wa umma mara mbili kisa CHADEMA.
Ila kwa yaliyotokea leo DUUH SIASA BASI.
Muda wangu bora nipoteze kushabikia Liverpool na Yanga.
Na bila kusahau kutafuta hela.
Nimekuwa mwanachama wa CHADEMA tokea 2010 ila kwa mliyofanya leo CHADEMA "Fuc* off""
Am DONE.
#YNWA
Bila Shaka unakunywa castle lite baridi kwa sababu.Baada ya kukosa nafasi ya kupiga kura 28/10/2020 niliumia sanaa kutomchagua mpinzani Mhe. Tundu Lissu.
Ila kwa yaliyotokea leo nadhani hata ule uchunguu umeisha woteee.
1. Viti maaalumu wamepewa.
2. Tundu yupo ubelgiji anakula soseji.
3. Maalimu Seif soon atakubali kuwa makamu wa raisi.
Kwahili naomba nijivue.
Yaliyotokea kwa Lowasa nilijipa moyo na kumuona msaliti nikaendelea kukomaa na CHADEMA.
Nilihatarisha utumishi wangu wa umma mara mbili kisa CHADEMA.
Ila kwa yaliyotokea leo DUUH SIASA BASI.
Muda wangu bora nipoteze kushabikia Liverpool na Yanga.
Na bila kusahau kutafuta hela.
Nimekuwa mwanachama wa CHADEMA tokea 2010 ila kwa mliyofanya leo CHADEMA "Fuc* off""
Am DONE.
#YNWA
Wacha waende wakapate kiinua mgongo. Walivyoitisha maandamano mlijitokeza? Humu JF hakuna Chadema kuna wapiga porojoI'm with you.. liverpool F.C...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Na huko ofisini lazima wakushughulikie vizuri sasa!Baada ya kukosa nafasi ya kupiga kura 28/10/2020 niliumia sanaa kutomchagua mpinzani Mhe. Tundu Lissu.
Ila kwa yaliyotokea leo nadhani hata ule uchunguu umeisha woteee.
1. Viti maaalumu wamepewa.
2. Tundu yupo ubelgiji anakula soseji.
3. Maalimu Seif soon atakubali kuwa makamu wa raisi.
Kwahili naomba nijivue.
Yaliyotokea kwa Lowasa nilijipa moyo na kumuona msaliti nikaendelea kukomaa na CHADEMA.
Nilihatarisha utumishi wangu wa umma mara mbili kisa CHADEMA.
Ila kwa yaliyotokea leo DUUH SIASA BASI.
Muda wangu bora nipoteze kushabikia Liverpool na Yanga.
Na bila kusahau kutafuta hela.
Nimekuwa mwanachama wa CHADEMA tokea 2010 ila kwa mliyofanya leo CHADEMA "Fuc* off""
I'm DONE.
#YNWA
Ukimsema Tundu LissuBaada ya kukosa nafasi ya kupiga kura 28/10/2020 niliumia sanaa kutomchagua mpinzani Mhe. Tundu Lissu.
Ila kwa yaliyotokea leo nadhani hata ule uchunguu umeisha woteee.
1. Viti maaalumu wamepewa.
2. Tundu yupo ubelgiji anakula soseji.
3. Maalimu Seif soon atakubali kuwa makamu wa raisi.
Kwahili naomba nijivue.
Yaliyotokea kwa Lowasa nilijipa moyo na kumuona msaliti nikaendelea kukomaa na CHADEMA.
Nilihatarisha utumishi wangu wa umma mara mbili kisa CHADEMA.
Ila kwa yaliyotokea leo DUUH SIASA BASI.
Muda wangu bora nipoteze kushabikia Liverpool na Yanga.
Na bila kusahau kutafuta hela.
Nimekuwa mwanachama wa CHADEMA tokea 2010 ila kwa mliyofanya leo CHADEMA "Fuc* off""
Am DONE.
#YNWA
Umesema kweli man..!!Tanzania hakuna upinzani wote ni wasaka tonge mm nilisanuka tangu ya Lowasa hata huyo mbowe sio mpinzani labda lisu
Pointi ipo ila Tundu Lissu unamuoneaBaada ya kukosa nafasi ya kupiga kura 28/10/2020 niliumia sanaa kutomchagua mpinzani Mhe. Tundu Lissu.
Ila kwa yaliyotokea leo nadhani hata ule uchunguu umeisha woteee.
1. Viti maaalumu wamepewa.
2. Tundu yupo ubelgiji anakula soseji.
3. Maalimu Seif soon atakubali kuwa makamu wa raisi.
Kwahili naomba nijivue.
Yaliyotokea kwa Lowasa nilijipa moyo na kumuona msaliti nikaendelea kukomaa na CHADEMA.
Nilihatarisha utumishi wangu wa umma mara mbili kisa CHADEMA.
Ila kwa yaliyotokea leo DUUH SIASA BASI.
Muda wangu bora nipoteze kushabikia Liverpool na Yanga.
Na bila kusahau kutafuta hela.
Nimekuwa mwanachama wa CHADEMA tokea 2010 ila kwa mliyofanya leo CHADEMA "Fuc* off""
Am DONE.
#YNWA
YNWA fellow kop na WananchiBaada ya kukosa nafasi ya kupiga kura 28/10/2020 niliumia sanaa kutomchagua mpinzani Mhe. Tundu Lissu.
Ila kwa yaliyotokea leo nadhani hata ule uchunguu umeisha woteee.
1. Viti maaalumu wamepewa.
2. Tundu yupo ubelgiji anakula soseji.
3. Maalimu Seif soon atakubali kuwa makamu wa raisi.
Kwahili naomba nijivue.
Yaliyotokea kwa Lowasa nilijipa moyo na kumuona msaliti nikaendelea kukomaa na CHADEMA.
Nilihatarisha utumishi wangu wa umma mara mbili kisa CHADEMA.
Ila kwa yaliyotokea leo DUUH SIASA BASI.
Muda wangu bora nipoteze kushabikia Liverpool na Yanga.
Na bila kusahau kutafuta hela.
Nimekuwa mwanachama wa CHADEMA tokea 2010 ila kwa mliyofanya leo CHADEMA duh
I'm DONE.
#YNWA