Nimeamua kuachana na siasa rasmi. CHADEMA walinihatarishia ajira yangu ya umma ila leo wameunga juhudi

Kwani wasingepeleka wabunge viti maalumu wewe ungepata faida gani?
Na baada ya kupeleka unashinda njaa au kuna chochote kimepungua kwako?
 
Kisiasa hakuna urafiki wala uadui wa kudumu bali kuna maslahi ya kudumu!
HIYO MOJA HONGERA!...LAKINI PIA WATANZANIA WENGI BADO NI MASIKINI WENYE MAISHA YA MLO WA KUTAFUTA SIKU HIYO HIYO. SASA KAMA NCHI ITAKWAMA KUKUCHUKUA AIDHA KWA VIKWAZO AU VITA/VURUGU ITAKUA NI MBAYA SANA KWA WATANZANIA WOTE KULIKO HIZO SIASA ZA USHABIKI WA KILA MTU NA TUMBO LAKE(KILA MTU NA KAMHOGO KAKE).TUFIKIRI MAISHA YA NDUGU NA WAZAZI WETU KULE VIJIJINI HALI ZAO TUNAZIKWAMUAJE KWA PAMOJA BADALA YA SIASA/SEMINARIES ZETU HIZI ZA NJOZI KWANI HATA HUKO ULAYA WANAYO YA KWAO.
 
Siasa za Africa ni UPUUZI tu.

#YNWA
 
Poteza muda wako kulea wanao
Wape muda wa kutosha
Siasa itakuaibisha
Shauri yako kila mtu anaangalia tumbo lake
Vipenzi vyangu vya kupoteza muda ni Yanga na Liverpool bila kusahau kutafuta pesa.

#YNWA
 
""People are playing with our minds for their own benefit.""
You nailed it.

#YNWA
 
Miaka hiyo yote hukua unajua kua chadema ni kundi la wahuni?
 
Wananchi ndiyo wapinzani na si hawa wanasiasa wapinzani na watawala ni maslahi tu.Ni swala muda Tu ,wananchi watakuwa wapinzani.
 
Sijawahi kuwaamini Chadema, labda chama kingine kitokeee kipya. Nacho kitokee kutokana na mpasuko wa CCM. Nacho pia kikija naamini hakitakua na ushirikiano wa kweli na vyama vingine vilivyopo. Kitakua na maslahi yake zaidi kuliko kujali wapinzani wenzao
 
Wazungu wanasema,"kila mmoja anabei yake" hivyo kila mtu kuna kiwango cha pesa kikiwekwa hatoboi lazima apindishe mambo.......

..."Mabeberu wabaya sanaaa"....
 
Dah CHADEMA imeniuma sanaa.
Asante sanaa kop

#YNWA
 
Wewe ni "POYOYO".

Mpenda mabadiliko ni kutoka moyoni na si CHAMA.

Wewe una mahaba na CHADEMA lakini si MABADILIKO.
Watu kama ninyi ni hatari kwa hatari kwa nchi na harakati, huna tofauti na polepole wa Bunge la katiba na Polepole mlamba nyayo wa CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…